Maharage ya kopo yamuumbua sista do | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maharage ya kopo yamuumbua sista do

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by charger, Jul 10, 2011.

1. charger

charger JF-Expert Member

#1
Jul 10, 2011
Joined: Nov 21, 2010
Messages: 2,324
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Sista do mmoja alikuwa anapenda sana maharage ya kopo(baked beans)shida ilikuwa kila akiyala baada ya muda anaharibu atmosphere vibaya mno.Sasa ikafika point kapata mchumba aliyempenda sana na jamaa akaahidi kumwoa.

Sista do kwakuwa alimpenda jamaa na hakutaka kumsumbua kwa katizo la hewa  pindiwanapokuwa pamoja akaamua kuacha kabisa kula  baked beans.

Wameshaoana sasa,siku moja sista do anarudi toka kazini gari lake likaharibika wakati akirudi home.Ni mbali kidogo na home.Akaamua kumpigia simu mumewe kwamba amepata tatizo hivyo atachelewa kidogo kurudi kwani anatembea kwa mguu.

Akiwa njiani kapita restaurant flani harufu nzuri ya baked beans ikamvutia,akasema potelea pote  I'm  craving ngoja nikale kidogo by the time nafika home mambo yatakua yameshakaa sawa.Pale restaurant kastukia kapiga kopo 3 za baked beans.Kaendelea na safari yake kurudi home huku anapiga vi shot range misile kidogo kidogo.

Ile anaingia tu home mmewake kamkaribisha kwa bashasha na kumziba kitambaa usoni akamwambia amemwandalia zawadi nzuuuri ya dinner.Akamshika mkono kumpeleka dinning.Akamfikisha kwenye kiti.Kabla hawajaendelea simu ya mme ikaita chumbani,mme akamwomba radhi sista do"Darling nakuja sasa hivi usifungue macho please" Sista do tumbo linavuruga akaona amepata ka mwanya afanye mambo yake kabla mme wake hajarudi.Kanyanyua ta...** moja kashusha fataki la kimyakimya,chumba chote ikawa kama  samaki mbichi kasahaulika kwenye frizer halafu umeme ukatike kwa siku 3.Sista do katoa leso kapungapunga kurekebisha mazingira huku anasikiliza maongezi ya simu ambayo yalionekana ni marefu.Sista do mara tena likaja fataki jingine akaachia  then akapunga na kaleso,likaja la 3 hivohivo.Mara jamaa kamaliza kuongea akarudi."Darling I hope hujajifunua"sista do"yes hny"

Ikafika saa ya kufunguliwa kitambaa,guess what happened??

Meza imejaa wageni 12 wamekuja kumpongeza kwa birthday yake.

2. Raia Fulani

Raia Fulani JF-Expert Member

#2
Jul 10, 2011
Joined: Mar 12, 2009
Messages: 10,220
Likes Received: 83
Trophy Points: 145
Mh! Hapatoshi

3. hengo

hengo JF-Expert Member

#3
Jul 10, 2011
Joined: Jun 6, 2011
Messages: 403
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Hiyo kali

4. Jaguar

Jaguar JF-Expert Member

#4
Jul 11, 2011
Joined: Mar 6, 2011
Messages: 3,409
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Dah!jamanix2!

5. Perry

Perry JF-Expert Member

#5
Jul 11, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
Hah!hah!hah!csta du mzima anajamba hadharan!!

6. Matti

Matti Member

#6
Jul 11, 2011
Joined: Jan 24, 2011
Messages: 95
Likes Received: 2
Trophy Points: 15
kudadadeki

7. Katavi

Katavi Platinum Member

#7
Jul 11, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,469
Likes Received: 4,128
Trophy Points: 280
Ahahahahaaah!!! Hiyo aibu ya mwaka!

8. serio

serio JF-Expert Member

#8
Jul 11, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 5,925
Likes Received: 1,133
Trophy Points: 280
kudadadekii.,.

9. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#9
Jul 11, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Unanikumbusha one of my ex g aliharibu hewa mpaka nkapata kichefuchefu

10. Perry

Perry JF-Expert Member

#10
Jul 11, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
khaaaaah!!ndo 7bu ukamshit nin?

11. Lady N

Lady N JF-Expert Member

#11
Jul 11, 2011
Joined: Nov 1, 2009
Messages: 1,919
Likes Received: 12
Trophy Points: 135
duh! aibu!!

12. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#12
Jul 11, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 736
Trophy Points: 280
nimecheka kwa kweli....

13. a

ammah JF-Expert Member

#13
Jul 11, 2011
Joined: Oct 2, 2010
Messages: 211
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
aibu kwel kwel...sista du...priiiii

14. MAMMAMIA

MAMMAMIA JF-Expert Member

#14
Jul 11, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 3,822
Likes Received: 23
Trophy Points: 0
Hahahaha, hii imenianzia vyema siku yangu! ONYO KALI KWA WAPIGA MIZINGA: ANGALIA MAZINGIRA KABLA HUJAFYATUA.
Hii hadithi inanikumbusha movi moja ya bongo, jina nimesahau, kuna yule jamaa anacheza kiduku saa zote. Tafauti ni kuwa kwenye muvi mpiga mizinga alikuwa mume na aliyekuwemo chumbani alikuwa mwamamkwe

Loading...