domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,760
Ukijumlisha miaka yako, mfano 19 na digit mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa 1992 jibu litakuwa 111, basi hivi ndivyo ilivyo kwa watu wote mwaka huu, jibu lazima liwe 111, au 11 au 1. Hii ina maana kubwa katika maisha ya watu hapa duniani. kama yupo ambaye jibu lake ni tofauti aseme apewe msaada wa haraka