kuna mwizi baada ya kuiba sana jirani na kwao akaona asogee kidogo sehemu ingine,usiku akaenda kwenye nyumba moja yenye ukuta akaona kimya,ukuta haukuwa mrefu sana akaona aruke juu na kushika mara moja tu,Kumbe ukuta ule ulimaliziwa kujengwa jioni ile na wenye nyumba walilala barazani kulinda usalama.Mwizi ile anadandia ukuta ukaangukia ndani pamoja nae na akazingirwa na wenye nyumba katika kuchanganyikiwa kauli yake ya kwanza 'humu ndani kuna chumba cha kupanga' ?