...najisikia kawaida tu, je wewe?
...jamani hii inaonesha jinsi ambavyo hii JF ilivyo muhimu, maana FB wala Twitter hazisheheni habari kama JF, naifagilia JF, maana siwezi kuamka asubuhi bila...
Walipotekwa kwenye basi na majambazi abiria wote waliamriwa kila mmoja afanye mapenzi na wakaribu yake haijalishi mna jinsia mmoja! Nyuma kwenye siti ya Shekhe na kijana
Shekhe:tujifanye...
Wife: You always carry my photo in your handbag to the office. Why?
Darling : When there is a problem, no matter how impossible, I look at your picture and the problem disappears.
Wife: You see...
jamani, kulikoni na hii herufi T? nahisi imerogwa na alie iroga kasha dead,.ebu check;
TANESCO,
TCU,
TFDA,
TRC,
TAKUKURU,
TBC,
na TANZANIA yenyewe.,
na sasa TIGO,.yaniiii, we achatuu,.
Cigarette
A pinch of tobacco rolled in paper with fire at one end & a fool at the other.
Marriage
It's an agreement in which a man loses his bachelor degree and a woman gains her master...
One afternoon a husband arrived home with sadnews for his wife...
Husband: Wife, I just received a call, mother(mama) passed away. Shall we go
to town and get some necessities for the funeral...
HELLO! you may be amused by this. enjoy it.
Men Are Impossible to Please
If he calls you and your phone is off, he thinks youre cheating . then he sends a sms saying...
Jioni hii nimemuona baba riz akitumika kuadvertise tangazo la TRA....eti wananchi wenzangu toeni kod kwa maendeleo! Mwe! Me nimebaki na mawazo mengi, je ni ameishiwa kiasi hcho..? Hapakuwepo na...
Joe was a single guy living at home with his father and working in the family business
When he found out he was going to inherit a fortune when his sick father died, he decided he needed a wife...
Mvulana:naweza nikapanda milima mirefu, naweza nikaongelea baharini kwenye kina kiredu na hata kutembea kwenye mkaa wa moto unaochoma,hii yote nikuonyesha jinsi navyokupenda
Msichana: Jamani dia...
Kikwete alitembelea USA akafika kwenye jengo moja la gorofa refu, cha kushangaza aliona ndo jengo pekee ambalo halina umeme akamua kuuliza mbona hili jengo pekee yake ndo halina umeme, wenyeji...
A man is in court. The Judges says, "on the 3rd August you are accused of killing your wife by beating her to death with a hammer, how do you plead"?
"Guilty", said the man in the dock.
At this...
Wakuu, huyu ng'ombe mimi nitamuua sasa. Yaani kila nikijitahidi kumchoma sindano ananipiga na pembe, anafikiri ataponaje sasa? Kama kuna mtu ananunua ng'ombe naomba anijulishe.
Madada wengi sana wanapenda sana kuchangia Jukwaa la mapenzi au kupitia bila kuchangia,
Madada wengi sana wanapenda sana kutajwa Jukwaa la Chit Chat,
Wanaume wanaopenda kufuatilia mambo mengi...
Nahitaji kubadilisha avatar yangu...nawakaribisha wote kunichagulia avatar mpya..nitumieni picha za aina mbalimbali..
Na zoezi hilo sio bure, kwa atakayenichagulia avatar ntakayoipenda bonge la...
Historia ya James Millya ni kuwa alikuwa adopted na mzungu aitwae phillip toka akiwa darasa la pili. mzungu huyo amemsomesha kama mtoto yatima hadi degree ya pili lakini cha kushangaza Millya hadi...
kuna jamaa mmoja bhana alikua anataniana na mwenzake yani huku kwetu tunaita mchongoano....jamaa wa kwanza akamwambia mwezake we ni mweusi mpaka ukisamama kwenye kona mtu akija atasema pana...