Wadada wanaipenda sana Uwanja wa Mapenzi!

Wadada wanaipenda sana Uwanja wa Mapenzi!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,165
Reaction score
2,670
Madada wengi sana wanapenda sana kuchangia Jukwaa la mapenzi au kupitia bila kuchangia,
Madada wengi sana wanapenda sana kutajwa Jukwaa la Chit Chat,
Wanaume wanaopenda kufuatilia mambo mengi hawakosi kuvisit Jukwaa la Siasa,
Wadini ndo wanaenda sana kule kwenye Jukwaa la dini
Kuna watu kuja JF, mahala pa kuanzia ni Jukwaa la Kikubwa tu, hahahahaha!


Kwa mtazamo wangu ni haya tu!
 
mrisho mpoto! ulikua wapi siku zote kutupa burudani!!!!!!!
 
Back
Top Bottom