Mkojo hautoki

Mkojo hautoki

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,355
kuna kibabu kilienda hospital ikabidi apimwe Malaria baada ya nurse kumchoma kidole akashangaa kuona hamna damu ikabidi aanze kunyonya kidole! Babu akasema "NA MKOJO HAUTOKI".....
 
Teh teh teh teh teh, kwahiyo babu alitaka anyonwe dude ili mkojo utoke! Duh kweli babu hiyo ni kiboko ha ha ha ha ha ha
 
Ha ha ha babu anataka kuwa kama hiki kizazi cha facebook
 
kuna kibabu kilienda hospital ikabidi apimwe Malaria baada ya nurse kumchoma kidole akashangaa kuona hamna damu ikabidi aanze kunyonya kidole! Babu akasema "NA MKOJO HAUTOKI".....
Huyo babu sharobalo wa ukweli
 
Haaaa haaaa haaaa,uwiiiiiiii,huyo babu au kijana jaman?umenifurahisha mkuu!
 
Back
Top Bottom