Niaje herufi "T"?

Niaje herufi "T"?

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,354
Reaction score
4,768
jamani, kulikoni na hii herufi T? nahisi imerogwa na alie iroga kasha dead,.ebu check;

TANESCO,
TCU,
TFDA,
TRC,
TAKUKURU,
TBC,
na TANZANIA yenyewe.,
na sasa TIGO,.yaniiii, we achatuu,.
 
Ebwana kweli, nahisi na wenye majina hayo pia watakuwa na shida. Badili haraka usiharibikiwe.
 
Aaaaaa, achen hizo Bana,, kwani TANMO ana tatizo gani?
 
Tete
tamaa
tff
tarime
teketea
tuhuma
TOROKA
TUKANA
 
ebu nijuze majina ya watu yanayoanzia na T. Ili nijiweke sawa.
 
Tehtehteh naona wote mnaogopa kusema "tanu"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom