Nimempanua, nimemuinamisha, nimemlaza chali lakini sindano haiingii

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Wakuu, huyu ng'ombe mimi nitamuua sasa. Yaani kila nikijitahidi kumchoma sindano ananipiga na pembe, anafikiri ataponaje sasa? Kama kuna mtu ananunua ng'ombe naomba anijulishe.
 
Kuna mtu amechakachua heading yangu. Sijaona mantiki ya kuongezea neno sindano hapo.
 
Kwani sindano wamchoma usoni hadi akupige pembe...au labda anataka na yeye akuchome pembe lake baada ya wewe kumchoma kijisindano....
 
Duh, mwana heading ya sread yako haijatulia. Me nilidhani unaomba msaada wa maarifa kuhusu yale mambo ye2 ya kiutu uzima
 
lakini anatoa maziwa kama kawaida, tena matamu sana.

mmh....huyo ng'ombe wako nae.....haya sema ni wa rangi gani nikupe namna ya kumchoma sindano....ila....asiwe wa mabakamabaka.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom