James Millya na Ally Bananga ni waganga njaa wa fisadi Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

James Millya na Ally Bananga ni waganga njaa wa fisadi Lowassa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Joseph Peter, Oct 18, 2011.

 1. J

  Joseph Peter Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Historia ya James Millya ni kuwa alikuwa adopted na mzungu aitwae phillip toka akiwa darasa la pili. mzungu huyo amemsomesha kama mtoto yatima hadi degree ya pili lakini cha kushangaza Millya hadi leo analala kwenye ghorofa ambayo mzungu huyu amepangisha kwa lowasa pale sakina GNT huku akiwa amepewa kitanda cha futi tatu. Millya huyu leo hii anafanya kazi ya baa pale viavia mkoan arusha aliko kodisha mzungu huyo. Mzungu analalamika kuwa watanzania kweli hawana shukrani .

  Nae Ally Bananga ambaye hadi leo analelewa na wazazi wake kule mbauda arusha ni mzururaji tu. Mwaka jana ali ajiriwa na fred lowasa kwenye baa yake iitwayo EMANTATA kule monduli, sasa kibarua kimeisha na maejiriwa kwa kazi kutetea mafisadi. Ally Bananga huyu ambaye mwaka 2008 alifoji umri wake wa ujana aliumbuliwa na vikao vya uvccm mkoa wa arusha na kunusurika kupelekwa polisi na kina kizigo na porokwa.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Na wewe ni Mganga njaa wa Nnape?
   
 3. N

  Nali JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  James Millya namfahamu vizuri sana....naomba watanzania tuwe wa kweli MAANA NAONA TUNAKOELEKEA UONGO NA UZUSHI NI KAMA JANGA LA KITAIFA SASA!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Malaria sugu yeye mbona simuoni kwenye listi?
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tuelezee namna unamvomfahamu tofauti na alivoeleza mrusha thread tupate uwanja mpana kuchambua tafadhali
   
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Thread zile zile za magamba. Mmemshindwa Lowasa,mnakuja JF kulialia.. Vipi yule gamba wenu katibu wa CCM mkoa bado yupo Arusha?
   
 7. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Sory nimepotea njia mi napita tu jamani
   
 8. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hii kamati ya Fitna imekosea njia, kweli msomi wa degree mbili alalie kitanda cha futi tatu? Labda jamaa awe na falsafa fulani anayoi apply hivyo kukubali kulala kitanda cha futi tatu ghorofani.
   
 9. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  loh jamani hakika sasa kuna watu wa ajabu!yaani unatazama credibility ya mtu kwa ukubwa wa kitanda chake!!alifikaje faraghani kwa jamaa anyway!
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Siasa za bongo bana mpaka kitanda nacho kinatajwa
   
 11. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo..???
   
 12. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kazi wanayo ya kutetea Mafisadi lakn tukipata Uhuru wetu wa kweli tutaanza na hawa vijana
   
 13. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mkuu nadhani hii ingefaa zaidi kwenye udaku ushambenga ufukunyuku umbea nk.
  Maanake baadaye tutaanza ya anashindia kipande cha mkate viatu bila soksi na upuuzi wa namna hiyo.
   
 14. L

  Losemo Senior Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni uzushi uliokolezwa giligilani. Kwaherini
   
Loading...