Leo sijatembelea Facebook wala Twitter!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo sijatembelea Facebook wala Twitter!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ng`wanakidiku, Oct 19, 2011.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ...najisikia kawaida tu, je wewe?

  ...jamani hii inaonesha jinsi ambavyo hii JF ilivyo muhimu, maana FB wala Twitter hazisheheni habari kama JF, naifagilia JF, maana siwezi kuamka asubuhi bila kuwa JF, then nikipata muda ndiyo naeda kunusa kidogo fb au twitter, ila kwa leo ndiyo sijapita kabisa!
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo tukusaidie nini?. Hebu tuondolee ujinga wako hapa. Kojoa ulale.
   
 3. F

  FredKavishe Verified User

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Acha utahira na kujaza post
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Hii nayo kali.
   
 5. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ...jamani hii inaonesha jinsi ambavyo hii JF ilivyo muhimu, maana FB wala Twitter hazisheheni habari kama JF, naifagilia JF, maana siwezi kuamka asubuhi bila kuwa JF, then nikipata muda ndiyo naeda kunusa kidogo fb au twitter, ila kwa leo ndiyo sijapita kabisa!
   
 6. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kumbe ulikuwa unamaanisha hivo!!! ungefafanua kwenye thread mwanzo maana humu ndani utatolewa macho
   
 7. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hapo uko sawa.
   
Loading...