Jamani wapi naweza pata mbuzi choma na ugali kwa Dar nina hamu sana...

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
2,447
3,016
wadau wana Jf naomba msaada kama kichwa kinavyo jielezea kwani nina hamu sana na hiyo kitu..
 
ingia brake point either ya town au knyama its superb though kuna chimbo flani lipo boko kule wale jamaa hawashikiki ila mbali we ingia brake point you wont regret.
 
ingia brake point either ya town au knyama its superb though kuna chimbo flani lipo boko kule wale jamaa hawashikiki ila mbali we ingia brake point you wont regret.

ok..naweza cheki huko pia
 
mkuu nipo UDSM..nitashuru sana
Mkuu hilo boom ndio unalitumbua kihivyo! duh lazima shavu lije, aliyekwembia uende Jolly usifuate ushauri wake! Utarudi bila hata kumi.
Mm ni mshamba niku huku chuga lakini najua Jolly kuna vyangudoa sugu.
 
hahahaha...mkuu mi ni last year kwa chuoni,na natumia my money sio boom,,ila ahsante kwa kunijuza
 
Nenda sinza kumekucha upande wa kanisa kama mita mia kutoka barabaran! Jina silikumbuki, pa chafu chafu ivi ila mbuzi ya ukwel u wont regret!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom