Tanesco mpaka mamtoni

Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
8,143
3,830
Kikwete alitembelea USA akafika kwenye jengo moja la gorofa refu, cha kushangaza aliona ndo jengo pekee ambalo halina umeme akamua kuuliza mbona hili jengo pekee yake ndo halina umeme, wenyeji wakamjibu huu ni ubalozi wenu wa Tanzania
 
duh!!!...
 
Hhahahahh... haya bana.
 
Back
Top Bottom