JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika. Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia...
15 Reactions
36 Replies
503 Views
Nimeamua rasmi kuondoka JF.🙏🏼 Nimegundua ninapoteza muda mwingi sana humu ndani, nitawamiss sana Wakuu. 👋 Nitarudi baada ya dakika 10
21 Reactions
143 Replies
1K Views
Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk Sasa...
24 Reactions
51 Replies
719 Views
Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Makelele merngi sana siku hizi Vyombo vya...
8 Reactions
62 Replies
900 Views
Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF! Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa...
15 Reactions
91 Replies
2K Views
1. Masanja Mawenge 2.N'kwabi N'gwanakilala 3.Rupondije Inuka 4.Mabula Nkwimba 5.Nyeunge Maneno 6.Budodi. Endeleeeaaa!!
0 Reactions
255 Replies
78K Views
Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari
8 Reactions
65 Replies
591 Views
Assalaam, Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu kwa kuifika siku ya leo nikiwa na afya njema. Allah anijalie afya njema, anilinde, niishi kwa kumpendeza yeye. Oooh ushangazi...
15 Reactions
151 Replies
6K Views
Fuatana nami kwa makini kwenye hii mada hii..! Katika ndoto, udongo unawakilisha misingi ya maisha yako, uwezo wako wa kukua kiroho, na utayari wa kupokea mambo mapya.. Kwa kuwa udongo ndio...
5 Reactions
27 Replies
266 Views
Ni sababu zipi, zinazo kukwamisha wewe kutokuwekeza biashara, kiwanda, au uchimbaji wa madini Ulaya?
8 Reactions
91 Replies
585 Views
Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, cha kushangaza unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti UMASIKINI NI MENTALITY NA SIO POSESSION
15 Reactions
124 Replies
1K Views
Pongezi kwa kila mwenye kupata riziki halali. Ukiweza kutega mifereji ya kupata shilingi kadhaa, kwa jasho lako (au hata kwa kusaidiwa)...wewe sio MTU wa mchezo mchezo..heeeko👍🏾!
4 Reactions
7 Replies
149 Views
Ilikuwa mida fulani hivi ya saa mbili usiku ile naingia nyumbani kabla sijafika sebuleni nikasikia ndugu zangu wanajadili "Tumemletea tiba leoleo lazima aache hizo pombe zake!" hapo walikuwa...
34 Reactions
64 Replies
3K Views
Tuhuma bila ithibati! Utani wenye uhalisia.! Wivu wa kijinga! Shuku kisa chitchat! Maskhara yanapogeuka ugomvi. Umbea kwa usiyemjua vema..! Ma snitch! Hisia zilizotafsiriwa kinyume!🤔😫😷
23 Reactions
421 Replies
5K Views
A lot of us grew up in homes where the rules were clear, teachers were respected, dinner was not a restaurant menu and kids were expected to figure some things out without a commitee meeting. But...
1 Reactions
7 Replies
110 Views
Wanawake wa Dar aisee hapanaaa. Siku hizi ni kama vile biashara imehamishiwa kwenye usafiri wa umma. Yaani unakutana na mwanamke kwenye usafiri wa umma ni kama vile amedhamiria umtongoze...
23 Reactions
99 Replies
2K Views
Wakuu, Nimeshindwa kupata usingizi mpaka muda huu kutokana na ndoto inayonijia kila wakati kuhusu uwepo wangu katika kina cha Mahaba na mtoto wa Kisukuma Valentine. Kinachonishangaza ndoto hii...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa Legend Mshana Jr Tumtakie heri kwenye siku yake Leo. Older than yesterday, younger than tomorrow. Happy birthday mkuu.
13 Reactions
69 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…