ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,347
Wakuu,
Nimeshindwa kupata usingizi mpaka muda huu kutokana na ndoto inayonijia kila wakati kuhusu uwepo wangu katika kina cha Mahaba na mtoto wa Kisukuma Valentine.
Kinachonishangaza ndoto hii huwa inajirudia kila pale ninapopitiwa na usingizi hata kama ni asubuhi.
mshana jr hembu nidadavulie hii ndoto ili nijue kama valentine atakuwa wangu ama ni ndoto tu?
Nawasilisha kwenu