Lady: what is the price of this dress?
Salesman: 5 kisses
Lady: what is the price of that dress?
Salesman: 10 kisses
Lady: OK pack both of them & bill will be paid by my Grandmother
It is of no problem to me if the CHADEMA MP's walk out during the sessions of the parliament but then they should be very careful because their presence there is important but if they walk out...
Kona hii tuweke uwongo tunaousema au tuliousikia ukisemwa Baa.
Mi nilisikia njemba meza ya pili akimwambia binti eti yeye ana hela nyingi mpaka meneja wa benki huwa anamletea nyumbani,nikawaza...
1. 5 minutes ago you were traveling to office at 80 mph. in your brand new car. Now you are traveling to hospital at double the speed in an ambulance, you wish there was 'undo (ctrl + Z)' in life...
Mama moja nchini norway anamtafuta mwanadada atakae mtoa bikra mwanae wa kiume mwanye umri wa miaka 24, mama huyo anadai mwanaye amekuwa taahira kwa kukosa kufanya mapenzi tangu azaliwe. Kumbe...
Ilikuwa ni mtiti mkubwa sikuwahi kuona. Ustaadhi mmoja maeneo ya dodoma alimkoromea mtoto wa jirani -mtoto wa mpangaji mwenzake-kisa kwanini yule mtoto aliyatia kidole maji yalokuwa yametengwa...
Kuna jamaa alitokea kumpenda demu mzuri cna,huyo msichana kila wakipanga waka do,anasema,iwe usiku,huyo man akawa anashangaa mbona mchana hataki?,kuna nini?.siku hiyo usiku akamvizia,akasema...
Mambo zenu? eti jamani hivi ni kwanini Polisi hakupi deal mpaka akikukamata ndio anaanza kuchukua namba na kuanza kukupa madeal ya kupata mahela au hata kukusaidia pale mambo yanapokuwa sio...
"Mr. Bean alinunua card nyingi za X-mass alivyofika home akaziingiza kwenye kipenyo cha mlango halafu alivyoingia akaona zile card nyingi chini, akaanza kufurahia kuona amekumbukwa na watu wengi."...
yaani nyie mumeona "mia" ndo neno la kuendesha biashara zenu?hakuna maneno mengine?mumesoma terms of use ya hilo neno "mia"?kwanini hamjanishirikisha?mi nashangaa mumeikomalia.kila kitu mia,mala...
Ili uwe mwanasiasa hasa kwa ccm,itakupasa uwe na sifa zifuatazo.
1.Uwe mwongo na mnafiki,hii ina maana kuwa hata kama jambo si zuri,itakupasa ulitetee kwa nguvu zote,
2.Uwe Mshirikina,suala la...
Ikitokea umepewa siku moja tu, yenye masaa 24, umchague mtu mmoja tu ambae utapata nafasi ya kusikia maneno yake, kuona matendo yake na kujua mawazo yake bila ya yeye kujua, NAULIZA HIVI...
A Doc prescribed the robot.
A man buys a lie detector robot that slaps people who lie. He decided to test it at dinner:
Dad: Son where were you today during school hours?
Son: At school (robot...
1- mtu anakupigia simu ila unaongea na simu nyingine na simu inamuonyesha kabisa iyo simu inaongea ila yeye anaendelea kupiga tu anakuharibia maongezi maana simu inakata kata dkk 3 tu unakuta...
19 .12. 1989 19 .11. 2010
Today, our dearly loved brother you turn almost one year since you left us in a melancholy way, your sense of humor will be remembered forever.
Your gap will never be...