Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,430
wakuu habari za jumapili,leo baada ya kupigwa na joto nikaamua ngoja niende beach nikapunge upepo,huwezi amini nafika beach nikayaona madume mawili yamevaa G-string,hivi hawa wanaovaa hii kitu ni ndugu wa Cameron au hakuna ubaya wowote kwa dume kuvaa G-string? Nalog off