Nakwazwa na Avatar hii

Status
Not open for further replies.

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Habarini,
Nimeona avatar ya mdau mmoja anaitwa Avoyne, nimeshindwa kipaste hapa. Anayeweza kuipaste anisaidie.
Kweli inanikwaza sana, kama nilivyosema dini ndio suluhisho la mwisho la binadamu. Unapoona mtu anaitania/mock bila sababu ya msingi inasikitisha. Kila nikiiona its like you are punching my face, please can you change that avatar for those who praise that name dearly?

Nimeweka hapa ili na wengine wa-comment if am being paranoid. Nothing personal to you.
 
Nimeshindwa kumpata, weka hata link ya kupeleka profile yake basi...
 
Pole sana kwa kukukwaza na nitaiondoa mara moja.

NB: Ungenijulisha kabla ya kupost thread ingependeza zaidi na jina ni navoyne.

Samahani sana wale waliokwazika kwa namna moja au nyingine.
 
Pole sana kwa kukukwaza na nitaiondoa mara moja.

NB: Ungenijulisha kabla ya kupost thread ingependeza zaidi na jina ni navoyne.

Samahani sana wale waliokwazika kwa namna moja au nyingine.

Safi sana kwa kuonesha uungwana huu.
OTIS
 
Asante kwa kuwa muelwa.

Thread Closed

Back
Top Bottom