shame:ATHUMAN MACHUPA ANATEMBEA NA MKE WA SHAMTE ALLY MCHEZAJI WA YANGA!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Katika kuonyesha kweli mke wa mtu mtamu
jana nimesoma gazeti moja la michezo mchezaji wa timu ya taifa ya tanzania ambao tff wanagarimu kumlipia tiketi athuman machupa anatembea na mke wa shamte ally mchazeji kiungo wa yanga
shamte alipofwata alisema ni kweli bana nilikuta simu ya mke wangu nyuma kuna laini nyingine nilipoweka nikakuta msg 40 za machupa nyingine akiwa sweden nikapiga na namba nyingine aliposikia sauti yangu akakata kwa kweli namsubiri haya mambo tuyamalize kama unavyoona katuma msg ati aniache sina kitu atamuoa wao wanaruhusiwa wake wanne kwa kweli sijamuelewa nahisi umalaya na vijisenti vidogo vinamsumbua

mke wa shamte alipoulizwa alisema nyie si kaawambia amezikamata aafwatilie basi asitake kuntibua

ndoa nzuri tena shubiri hawa ni wachezaji wa kutumainiwa kabisa wakitiana aibu hivi loh
 
Sasa sisi tufanyeje?
Acha wahusika wamalize matatizo ya wenyewe bila kurusha habari zao kwa mtindo wa umbea.
 
  • Thanks
Reactions: BPM
basi hili ndio umeona la kubebea bango.....wkt mitaani kwenu watu wanapakuwana daily na wake za watu,ukute mkeo anapakuliwa na huyo balozi wa nyumba kumi!!!
 
Duh, wanaume suruali kwa umbea hawajambo, bora fungua kibanda cha kahawa aisee
 
Katika kuonyesha kweli mke wa mtu mtamu
jana nimesoma gazeti moja la michezo mchezaji wa timu ya taifa ya tanzania ambao tff wanagarimu kumlipia tiketi athuman machupa anatembea na mke wa shamte ally mchazeji kiungo wa yanga
shamte alipofwata alisema ni kweli bana nilikuta simu ya mke wangu nyuma kuna laini nyingine nilipoweka nikakuta msg 40 za machupa nyingine akiwa sweden nikapiga na namba nyingine aliposikia sauti yangu akakata kwa kweli namsubiri haya mambo tuyamalize kama unavyoona katuma msg ati aniache sina kitu atamuoa wao wanaruhusiwa wake wanne kwa kweli sijamuelewa nahisi umalaya na vijisenti vidogo vinamsumbua

mke wa shamte alipoulizwa alisema nyie si kaawambia amezikamata aafwatilie basi asitake kuntibua

ndoa nzuri tena shubiri hawa ni wachezaji wa kutumainiwa kabisa wakitiana aibu hivi loh

ndio tabia za wacheza mpira, hata UK mambo ni hivyohivyo
 
basi hili ndio umeona la kubebea bango.....wkt mitaani kwenu watu wanapakuwana daily na wake za watu,ukute mkeo anapakuliwa na huyo balozi wa nyumba kumi!!!

Kila kazi ina mshahara. Ogopa sana mtu akiamua kufanya kazi isiyo na malipo.
Mjumbe wa nyumba kumi analipwa na nani?
Basi mshahara wake ni wake za watu. Usiombe ugombane na mkeo kisha umpelekee mashtaka, lazima akichungulie kipochi manyoya cha mkeo
 
Katika kuonyesha kweli mke wa mtu mtamu
jana nimesoma gazeti moja la michezo mchezaji wa timu ya taifa ya tanzania ambao tff wanagarimu kumlipia tiketi athuman machupa anatembea na mke wa shamte ally mchazeji kiungo wa yanga
shamte alipofwata alisema ni kweli bana nilikuta simu ya mke wangu nyuma kuna laini nyingine nilipoweka nikakuta msg 40 za machupa nyingine akiwa sweden nikapiga na namba nyingine aliposikia sauti yangu akakata kwa kweli namsubiri haya mambo tuyamalize kama unavyoona katuma msg ati aniache sina kitu atamuoa wao wanaruhusiwa wake wanne kwa kweli sijamuelewa nahisi umalaya na vijisenti vidogo vinamsumbua

mke wa shamte alipoulizwa alisema nyie si kaawambia amezikamata aafwatilie basi asitake kuntibua

ndoa nzuri tena shubiri hawa ni wachezaji wa kutumainiwa kabisa wakitiana aibu hivi loh

Anatembea naye barabarani?
 
Back
Top Bottom