Jumatatu Kareem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumatatu Kareem

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Nov 28, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,231
  Trophy Points: 280
  Nawatakieni wiki njema, wiki ya mahela, wiki ya mapato, mishahara, marupurupu na matumizi bab kubwa.
  Onyo;- mapenzi nje ya ndoa ni chanzo cha umasikini.
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh!!! mapenzi nnje ya ndoa ni chanzo cha umaskin,souce BUJIBUJI!!!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,231
  Trophy Points: 280
  kama unabisha hebu tembelea zile nyumba ambazo baba ana nyumba ndogo uone mke na watoto wanavyoishi kwa shida
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye redi, masharti kuzingatiwa
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wikendi inayokuja si kitoto, hata wapenzi wa zamani utaona wanaanza kukupigia pigia simu.


  [​IMG]
  Il Gambino.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,231
  Trophy Points: 280
  tawire mganga
   
 7. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  BWANA YESU ASIFIWE BUJIBUJI,
  Nafurahi kusoma post yako!
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,231
  Trophy Points: 280
  amen mpendwa, ubarikiwe na Bwana Yesu
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ok! Kumbe na ww ni mtumishi eeh!!na mm naja!
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Halleluya Mtumishi,
  Ila kiukweli vituko vyako na avatara yako vinaendana sana,
  Huwa napenda unayoandikaga lol!
  Naelekea felo shipu.
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mamito,njoo tu wala usijali,
  Bujibuji ni mtumishi hasa!
   
 12. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Same 2"u" our brother.
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kweli ni mtumishi hasa, kuna movie moja huyo mwenzake wa kwenye avatar yake alijifanya mtumishi akawa anawasarandia wake za watu kwa kuwaweka wiki nzima chumbani kwake kwa lazima eti anawafanyia maombi.
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haaa haaa haa!
  Zumbe mkuu kumbe nawe uliiona?
  Jamaa bonge la pasta ila lol!
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,231
  Trophy Points: 280
  karibu nyumbani mwa BWANA tuabudu katika Roho na kweli
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  muwe wawili tu chumbani, umtoe mapepo yote mwilini.
   
 17. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Thread za buji*2 lazima ucheke. Ulokole umeanza lini buji?
   
 18. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwenye red ukweli huwa unauma
   
 19. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante mtumishi ila,
  Na wewe huwa unatumiaga style ya kuombea km huyo aliopo kwenye avatara yako?
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,231
  Trophy Points: 280
  Sina muda wa kuombea mimi. Wenye matatizo wanashika pindo la nguo yangu na wanapata uponyaji. Nasema neno la imani kwa jina la Yesu, watu wanafunguliwa kutoka kwenye vifungo vya mwovu shetani. Naweka mikono kwa wagonjwa nao wanakuwa wazima, Bwana asifiwe sana
   
Loading...