Enzi za ubachelaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi za ubachelaaaa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ntumami, Nov 22, 2011.

 1. Ntumami

  Ntumami Senior Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari wana JF, leo ningependa kukumbushana maisha tuliyopitia katika kipindi ukiwa bachelor.... yaani zile experience za ubachelor unazozikumbuka ambazo ukiwa kwenye Ndoa hutarajii sana kukutana nazo

  teh teh teh kwa kuanza

  1. kula canteen karibu milo yote
  2. chakula kikuu chako kuwa chips mayai kwa kuwa zinapatikana kwa urahisi zaidi maeneo mengi ya mijini
  3...........
  4.........


  endelea na wewe
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  uvivu wa kupangilia nyumba yako....!
   
 3. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  uvivu wa kufua, hasa kurudia vyupi na vyox
   
 4. FM stereo

  FM stereo JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Hivi haitokei ukaumisi ubachela baada ya kuoa?
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  kupiga nyeto sababu huna demu. Nalog off
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,577
  Likes Received: 12,843
  Trophy Points: 280
  Heeeeee sasa kama ni dem?


  Nalog off

   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  mademu si wanatumia ndizi? Nalog off
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  ukiamka we unakurupuka tu,hakuna kutandika kitanda wala nini.Nalog off
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Fegi saana,halafu vichungi hadi kwenye godoro.
   
 10. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kondom kibao chumbani
   
 11. M

  MPIZO New Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuleta mademu kibao room mpaka unagonganisha magari halafu ww unasepa kiaina duh,,
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,577
  Likes Received: 12,843
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahahah
  ndizi si spesho ya hiyo maneno bana
  ikivunjikia

  haya bwana ntajaribu
  by the way ndiz mbiv mbichi?   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  saizi ya kati sio mbichi wala sio mbivu,ila hebu njoo chemba(PM) unajua kuna mambo nataka nikucoach kabla ya kufanya hiyo kitu.Nalog off
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,577
  Likes Received: 12,843
  Trophy Points: 280
  Mmmh mwiziiii we c ndo uni pm kwani c ni free of charge hapa jamvini?
  U made ma day anyways
   
 15. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kulala nje ya home weekend nzima kisa hakuna wa kukuuliza.... Hii nimeiona kwa jamaa yangu mmoja yuko mbali kidogo na mji kuna guest house moja town kaizoea kaweka kabisa begi la nguo weekend ikifika ansepea town mpaka j3..
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  mpangilio katika muda wa msosi ni randomly!
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  ubachelor ni mzuri sana hakuna gharama ktk maisha ubaya pale utakapoumwa hakuna msaada ina bidi upate msaada usioutegemea
   
 18. Ntumami

  Ntumami Senior Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  teh teh teh duh hii kali akioa itakuaje sasa?
   
 19. Ntumami

  Ntumami Senior Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hili nalo neno..... but bachela mzuri anajua kuishi vizuri na mairani... hivi ni mabechelor wangapi huwa wanahudhuria vikao vya mtaa?
   
 20. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye vikao sahau kabisa....!!
   
Loading...