Jamani kipi ni kazi kati ya kunenepa au kupungua, maana kuna ubishi hapa maskani

kaluun

Member
Nov 21, 2011
28
1
my take kupungua ni kazi thats why kuna variety of products relating to slimming...
 
kuna mtu na akili timamu anaeweza kubisha hili kweli?????? Atakua sio mzima kiakili,, labda ni maleria sugu, rajeo, au ritz,,
 
Kupungua kiboko ,nilipungua kilo 15 kwa miaka mitatu ,now nimeongeza kilo tatu mwezi mmoja.
 
Dah have been eating fr four yrs madikodiko yote mazuri, kyepe yai, kuku choma,firigisi, mapiza, burgers,hotdog, makaroni,bagia,sambusa, kababu,wali harage la nazi,supu utumbo, ulimi ,kongoro,mix,makange,makande,kishumba,choroko, mbaazi na makila kitu ila bado
 
Vyote kazi. Ila kuna dawa ya kupungua siku moja tu na kifikia ukubwa wa piritoni. ''Tembea na mdogo wa mke wako kisiri, kisha siku moja akuletee dokezo kwamba ni mjamzito''
Hii ni kwa wanaume walio owa.
.
 
kunenepa siyo lazima ule vitu vyote hivyo. Kitu cha kwanza kabisa kuliko vyote lazima uwe na "peace of mind" kimwili na kiroho ukikosa hili huwezi kunenepa. Mtu kila saa una mawazo , kero kibao mara hili mara lile yaani purukushani mtindo mmoja, sitegemei kama utanenepa. Lazima ulizuike then mwili utakuja wenyewe. Kukonda vilevile hutegema na peace of mind ukiwa nayo ni ngumu ikiwa huna yaani fasta unabaki kama namba moja.
 
Vyote kazi. Ila kuna dawa ya kupungua siku moja tu na kifikia ukubwa wa piritoni. ''Tembea na mdogo wa mke wako kisiri, kisha siku moja akuletee dokezo kwamba ni mjamzito''
Hii ni kwa wanaume walio owa.
.

hii kali nadhani mkuu sijui ilikukuta, maana ulivyoiandika kwa msisitizo. Anyway nakutania tu!
 
Vyote kazi. Ila kuna dawa ya kupungua siku moja tu na kifikia ukubwa wa piritoni. ''Tembea na mdogo wa mke wako kisiri, kisha siku moja akuletee dokezo kwamba ni mjamzito''
Hii ni kwa wanaume walio owa.
.

kiby hii approach yako ni nzuri but it's destructive in its context
 
Back
Top Bottom