Vijana watatu wakiwa porini kwa ajili ya kutafuta kuni,kwa bahati mbaya mmoja wao alijikata kwa panga mguuni na kuumia vibaya sana.Wakaamua kumbeba kwa zamu kurudi naye nyumbani kwa sababu alikuwa...
Wife goes to supermarket, sees man's briefs on sale. She buys a dozen of the same colour.
Goes home and gives hubby.
Hubby protests, " Why buy me same the colour? People will think I do not...
enzi hizo radio tanzania, kumekucha, jambo tanzania, mchana mwema, chaguo la msikilizaji, salamu mkulima, pwagu na pwaguzi, bp ni zaidi, mama na mwana, majira, jungu kuu, mikingamo, ombi lako...
Nimeamua kurudi kijijini kwa muda kwa ajili ya kushiriki msimu wa kilimo. Sina hakika huko kama mitandao ya simu inapatikana. Ikiwa inapatikana basi tutaendelea kuwa pamoja. Nawashauri wote ambao...
Ilikuwa ni chemsha bongo. Kwamba umepewa vitu vitatu ambavyo ni simba, nyasi au majani na mbuzi .sasa uvivushe mto kimoja baada ya kingine usivushe zaidi ya kimoja na uhakikishe vinafika salama...
Mme na mke wake walikuwa wanashindana kuweka password mpya kwenye computer yao
mme akawa amekomalia kuwa password iitwe 'uume'
mara mke akawa ameanguka chini kwa kicheko,kumbe screen ya computer...
=a baby
2=anthr chance
3=love
4=a kiss
5=frndship
6=to cuddle
7=a relatnship
8=an apology
9=a good chat
10=my pic
11=2 go on a date wth me
12:sleep @ur place
13=2 shag the lyf...
Mtoto alikuwa akimwambia mama yake kuwa kila siku amekuwa akimwambia kuwa house girl wao ni malaika anabisha. Mama akamuuliza kwa nini?
Mtoto akamjibu, kila siku namkuta akipiga kelele akitaka...
majamaa wawili walikua wamevuta bhang na ikawakolea kwelikweli. Wakaambizana tutaendaje nyumbani wakat hatuoni vizur magar? Mwenzake akamwambia wew gar la kwanza kupita tu tunadandia sawa...
Leo najiskia mkarimu sana alafu niko kwenye position ya kutoa LIKE.
Yani najisikia kuzigawa kama njugu, kwahiyo kama unataka like we andika point tu nakuja huko ulipo:eyebrows:.
Unasubiria nini...
take your time and enjoy life
kabla majukumu hayajawafunika
enjoy to the fullest
kama ni wa mziki dance mifupa yako ikiwa na nguvu
fanya adventure zote kwa usalama lakini
nimekaa hapa...
wakuu afrika kusini sio sehemu salama tena...nafikiri sasa tuwaachie nchi yao wema wetu tuliowatendea baba na babu zao miaka ya nyuma unatosha.....tuwaachie nchi yao......
Hiyo wanawatumia watu...
Kuna mtu kanikera kweli leo,.Kuna jamaa yake wa karibu kanipigia simu eti anafanya kazi airport na amepokea mzigo wangu kutoka kwa huyo mtu ambaye kwa sasa yuko nairobi na mzigo umetokea...