Huu ni utapeli au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni utapeli au?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kabakabana, Dec 13, 2011.

 1. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu kanikera kweli leo,.Kuna jamaa yake wa karibu kanipigia simu eti anafanya kazi airport na amepokea mzigo wangu kutoka kwa huyo mtu ambaye kwa sasa yuko nairobi na mzigo umetokea marekani.Sasa inabidi mzigo huo usafirishwe kutoka jk nyerere international airport unifikie hapa arusha. Huyo jamaa wa huyo mtu akaniambia inabidi nilipe dola kadhaa ili mzigo wangu usafirishwe na precision air kesho.Kiukweli hizo hela sina na nimemwambia kuwa ausafirishe tu kwenye ngorika unifikie.,hakuafiki. Basi nikatafuta alternative ya kumwambia kuwa kesho rafiki yangu aende kuangalia kama upo na atalipia itakuwa cheaper bado kakataa na kusema huo sio utaratibu wa kazi.Sasa mimi sijaelewa kuwa kwani ni lazima utumwe kwa ndege?au ni lazima ufike arusha?na kwanini huyu mtu hakuulipia unifikie bila matatizo? Yani nawaza hapa sipati jibu
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Jaribu kumuuliza huyo unayemfahamu kuhusu huo mzigo ili u comfirm..
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Mbona kama hauleweki. Jukwaa uliloweka uzi wako unanipa tabu kutoa ushauri.
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kasema upo.tatizo ni kwamba hauwezi kusafirishwa kwa ngorika?
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tatizo ni jukwaa?au uzi??
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Alie tuma anasema aliulipia wapi hadi wapi? maana kama alilipia hadi Dar kweli itakua ni vigumu wenyewe kumpa mtu mngine kama sio wewe mwenyewe. Ila wanatakiwa angalau kuusafirisha hadi arusha alafu wauweke ofisini kwao hadi utakapo pata hela za kukomboa.
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hilo sijamuuliza but itakuwa alilipia mpaka dar lasivyo ungesafirishwa mimi nikauchukua tu huku!
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa aliekupigia simu anafanya kazi kampuni ya usafirishaji mizigo (ambapo mzigo ulilipiwa) au ni rafiki ya mtu alie kutumia mzigo?
   
 9. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  anafanya kazi hapo airport terminal 2 na ni agent tu wa huyo alietuma lakini sijamuamini coz hajaonekana kufurahia nilivomwambia my friend aende akauchek mzigo kesho
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Basi ni utapeli. Mwambie unampigia sim alie tuma, na akiendelea kubana mzigo uttamripoti management ya airport!
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  thanx to be frank umenisaidia sana kimawazo
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Pole dear hio ni dhuluma ilo dhahiri kabisa..... Nimependa ushauri wa Mwali.
   
 13. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  yani we acha tu nasubiria leo nione kama nitapata any info
   
 14. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,768
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  ni kama kuna utapeli ndani yake, kama sivyo basi ni bahati mbaya. Kwani alietuma mzigo hajui kama unakaa Arusha?
   
 15. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kuna dalili za utapeli au kulipia mzigo mara 2, kwa uelewa wangu unapotuma mzima sharti kulipia gharama zote mpaka mzigo unapotakiwa kupokelewa. bottom line mpigie alietuma mzigo muulize kama mzigo umelipia au bado. na pia inawezekana hakuna mzigo uliotumwa, njia pekee ni kuhakiki na alietajwa kuwa amekutumia. vinginevyo hii ni Naija style...na western money....
   
 16. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unajua siku hizi watu wamekua haawaminiki. Lakini huyo mtu anachotakiwa kufanya ni kukutumia hivyo anavyotaka yeye kwa condition kwamba mzigo usipokelewe kama hujalipa. Hii ndivyo inavyokua. Na agent wa kuclear mzigo huwa ni wewe ndio unamchagua sio aliyetuma mzigo. Unless hizo document zimefikia kwake ndio kuna fees ambazo unatakiwa kulipia na wanakupa invoice na malipo yanakua na receipt. Na kuanzia hapo una hiari yeye akutolee au agent unayemtaka wewe. Lakini awali ya yote lazima akupatie invoice iliyokuja na huo mzigo na umekuja kwa Airwaybill number ngapi. Kama huyo jamaa yako alikuja nao kwa mkono basi hapo ni maelewano tu. Muulize ghara ni kiasi gani kama zinazidi nauli ya kuja Arusha basi ni vizuri uje ili uhakikishe kama kweli huo mzigo ni wako na uuchukue hapo hapo dirishani. Waweza tuma pesa halafu mzigo hakuna inakuaje? Wakati mtu mwenyewe humfahamu. Kama vipi aurudishe kwa mtu aliyeutuma kuliko ku risk wakati huna uhakika nao. Au gharama ikawa kubwa kuliko kununua mzigo huo huo hapa nyumbani.
   
 17. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  na yeye kapuku tu nimemchamba leo mpaka kakoma!
   
 18. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  yani wee acha ndugu yangu nilikuwa naingizwa mjini kweupee?nashukuru niliweka uzi humu mkanisaidia mawazo.
   
 19. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  well said!thanx
   
Loading...