kumbe tumepanda meli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe tumepanda meli

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by stevoh, Dec 14, 2011.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  majamaa wawili walikua wamevuta bhang na ikawakolea kwelikweli. Wakaambizana tutaendaje nyumbani wakat hatuoni vizur magar? Mwenzake akamwambia wew gar la kwanza kupita tu tunadandia sawa? Akamwambia sawa! Mwenzake akamuliza tena tutampa naul nan akamwambia mtu atakayekugusa tu unampa naul! Bas mawazo yakakubalika kwel hais ikaja wakapanda! Sasa wamefika kwenye tuta wakasukumana na jamaa mwingine mmoja wao akajisach akatoa nauli yule jamaa akamwambia mim sio konda akamwuliza kwann umenigusa akamwambia nilisukumwa. Akamwuliza kwan wew nan akasema mim ni nahodha. Akamgeukia jamaa yake akamwambia umenidanganya kumbe TUMEPANDA MELI.
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha haaaa...!!!!
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  khaaa! Bangi nibangue.
   
 4. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  hahahahahahahahahahahhaha,ebwana ee.....bangi nibangue
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hayo ndo matatizo ya ki2 cha Arusha.
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Mdudu rushwa noma...
   
 7. a

  amiride JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo cha mtoto jamaa watatu wamevuta bangi zao zimewakolea sawa sawa wakaambiana kwa nini sisi tunashindwa kujenga nyumba ya gorofa. mmoja wao akasema mbona hiyo ni rahisi haya tujengeni wakasimama kati kati ya barabara mmoja akapanda juu ya mabega ya mwenzake kadhalika na yule mwengine kasimama juu ya mabega ya yule wa pili kwa hiyo wakawa wameishajenga gorofa mbili.barabara ikawa haipitiki magari yamesimama akatokea askari akawaambia waondoke, wao kimya askari akampiga kofi yule wa chini, yule wa juu akamwambia wa kati angalia huko chini kuna mtu anapiaga hodi:lol:
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  dah kweli bangi ina stim
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  teh teh teh teh
   
 10. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  zote kali,
  bangi nouma.....!!!
   
 11. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Eti wanajamvi vita ya kwanza ya tatu ya dunia ni ln? tumepewa quiz leo tuition au ni la mtego?, nisaidieni ni assigment tunakusanya kesho.
   
 12. W

  Wazzzza Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hcho ki2 cha Tarime
   
 13. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Senkiyu
   
 14. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hahahaha!
   
 15. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ........ugali kilo 5 niuone kama tonge moja.
   
Loading...