Kwa vijana under 30

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
take your time and enjoy life
kabla majukumu hayajawafunika
enjoy to the fullest
kama ni wa mziki dance mifupa yako ikiwa na nguvu
fanya adventure zote kwa usalama lakini

nimekaa hapa nikakumbuka ya miaka hiyo
wakati mifupa ina nguvu
enzi tukijilisha upepo
wakati tunadansi na kudansi
duh early 90's, i wish nirudishe saa ya dunia nyuma
 
Vijana wa zamani,tatzo siku hizi 'SLIM' imetamalaki na inatuchinjia baharani
 
Kuenjoy si lazima hiyo kitu tu
kuna vingine vingi to make u happy
sidhan kama ukicheza mzik unapata slim?

Vijana wa zamani,tatzo siku hizi 'SLIM' imetamalaki na inatuchinjia baharani
 
Aaah siku hizi mshiko ndo wa mhimu,we si unaona mkuu wa kaya anaonekana kijana
 
I tell you
ukija zeeka utajua what you are wasting now
tatizo furaha mmei-associate sana na hela
you can enjoy na hicho kidogo ulichonacho
uzeeni hata kama una hela labda huna muda, au mazingira hayaruhusu maana huwezi enda disko ukakumbane na binti zako, au mipresha.
Am teaching my kids to enjoy to the fullest kwa hicho hicho walichonacho kwa wakati huo

Aaah siku hizi mshiko ndo wa mhimu,we si unaona mkuu wa kaya anaonekana kijana
 
take your time and enjoy life
kabla majukumu hayajawafunika
enjoy to the fullest
kama ni wa mziki dance mifupa yako ikiwa na nguvu
fanya adventure zote kwa usalama lakini

nimekaa hapa nikakumbuka ya miaka hiyo
wakati mifupa ina nguvu
enzi tukijilisha upepo
wakati tunadansi na kudansi
duh early 90's, i wish nirudishe saa ya dunia nyuma

Wengine sasahivi ndo wanajifanya ma-school oriented hawana hata break ya ku-refresh mind wakati hata taarifa ya habari ina matangazo....matokeo yake wakivuka age ya kufanya waliotakiwa kuyafanya ndo utaanza kuona mzee mzima na familia nyumbani anaingia billz,au ana dressing code ya ujana mno mpaka anatia aibu....au mmama mtu mzima anavaa nguo inambanaaaa,alipokuwa kijana sijui alikuwa wapi....
 
Yaani vurugu tupu
utu uzima una gharama zake
vitu vingine unajikuta unaviacha bila kuambiwa
jamani!
Wengine sasahivi ndo wanajifanya ma-school oriented hawana hata break ya ku-refresh mind wakati hata taarifa ya habari ina matangazo....matokeo yake wakivuka age ya kufanya waliotakiwa kuyafanya ndo utaanza kuona mzee mzima na familia nyumbani anaingia billz,au ana dressing code ya ujana mno mpaka anatia aibu....au mmama mtu mzima anavaa nguo inambanaaaa,alipokuwa kijana sijui alikuwa wapi....
 
Yaani hii thread ni kama umenitungia mimi, maana nina ka shilling millioni moja hapa mchagoni lakini naogopa hata kuigusa maana Xmass ndio hiyo, shopping inahitajika na Janualy shule zinafunguliwa wote mnayajuwa mambo ya English medium utadhani hiyo ada unauziwa na shule yenyewe yote!
Kweli naunga mkono wadogo zetu ambao wako under 30 wale bata la mwisho mwisho, baada ya hapo hupumui ni Janualy mpaka december majukumu kwa kwenda mbele.
 
@Matola
umeona ee
wakti mwingine hata shughuli tu zinakubana
mara kadhaa unajitahidi
lakini pia u cant be as crazy as u want to be
sababu wewe tayari ni role model pale nyumbani
so many things zinatubana kiaina
 
Mimi ntaanza kujirusha nikifikisha 35. . .i'm too young to risk breaking a hip.
 
Heri kujirusha tu.hii life matatizo kibao halafu starehe za kubip
 
Back
Top Bottom