Wasichana wa Kinyarwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasichana wa Kinyarwanda

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mayenga, Dec 12, 2011.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Any details kuhusu watu hawa.Please help,am dead of clarification.
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya subiri kidogo wazoefu wanakuja kukupa mambo zao lakini hujasema details gani kwenye anga zipi?
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya subiri kidogo wazoefu wanakuja kukupa mambo zao lakini hujasema details gani kwenye anga zipi wote kwa ujumla ]
   
 4. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Tabia na mwenendo mkuu.
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Ni warembo sana,wapole na wana heshima kupita maelez0
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  I can give you very useful information regarding Rwandan women but first you have to pay the bills
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanaujuzi mkubwa wa mapenzi ila wanauficha sababu mambo ya mapenzi ni very personnal. Sio mambo ya kuweka hadharani kwao... But I am talking in general hapa, kuna exception kidogo.
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ni wazuri sector zote kuanzia sura,tabia,busara na ile nyingine......
   
 9. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  boyfriends wanatambulishwa kama kaka, wajomba nk, kama umewaowa. Na mimi nasikiaga tu
   
 10. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Labda hiyo ndo heshima kwao,pia waishi kwa heshima mno na waume zao,kwao hakuna divorce,ni wavumilivu kupita kiasi,Ma belle mère est Rwandaise(tutsi)jamani kwa heshima naona kama vile kapitiliza.
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndio heshima yenyewe hiyo Fe Lady... yaani kama wamkiamua kuolewa, they are 'professional wives' tuseme.
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ukimuo mnyaruanda atahakikisha ana zaa na mnyaruanda mwenzake na akikosa kabisa anaweza kuzaa hata na kaka yake ili wasipoteze damu damu ya unyaruanda, utashangaa kila mtoto anatoka mnyaruanda pure ukiuliza ooh sisi tuna damu kali
   
 13. s

  sawabho JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Tabia kama za Waisrael vile, yaani za kutopenda kupoteza uasili wao. Kwa hiyo ukimwoa, baada ya kupata watoto kapime DNA utashangaa watoto wote sio wako.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  someone is falling in love :A S-heart-2:
   
 15. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  dah! mwanzoni mwa kusoma michango ya juu, nilijikuta natamani ghafla kuwaoa, ila nilipofika hapa, nguvu zimeniishia..........
   
 16. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  na akikutana na mnyarwanda mwenzie lazima wa sex, hata kama ni sokoni na mara ya kwanza kuonana
   
 17. H

  Hakundwa New Member

  #17
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani hao Wanyaru mnaowasifia sio hao mimi npo Rwanda ninayajuan zaidi sifa walizonazo kwanza'maji' pili hawajui kumyima mtu ni wewe kuzoza tu, pia hawana wivu mtu na dad yake rukhsa uwezo wako tu ila ni wapole sana ingawa wameanza kubadilika kulingana na muingiliano na mataifa mengine kama wabongo na mambo ya 'Togo"
   
 18. H

  Hakundwa New Member

  #18
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani hao Wanyaru mnaowasifia sio hao mimi npo Rwanda ninayajuan zaidi sifa walizonazo kwanza'maji' pili hawajui kumyima mtu ni wewe kuzoza tu, pia hawana wivu mtu na dad yake rukhsa uwezo wako tu ila ni wapole sana ingawa wameanza kubadilika kulingana na muingiliano na mataifa mengine kama wabongo na mambo ya 'Tigo"
   
 19. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye wivu,hata mme wake awe na small house,mke hajali kabisa na anazidi kumpenda mme wake
   
 20. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh!!! jamani ya kweli haya?!
   
Loading...