Yaan mara kwa mara nilikuwa nikishidwa kujibu hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaan mara kwa mara nilikuwa nikishidwa kujibu hii

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Adam waTZ, Dec 12, 2011.

 1. A

  Adam waTZ Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa ni chemsha bongo. Kwamba umepewa vitu vitatu ambavyo ni simba, nyasi au majani na mbuzi .sasa uvivushe mto kimoja baada ya kingine usivushe zaidi ya kimoja na uhakikishe vinafika salama vyote so kumbuka ukivusha simba ukaacha mbuzi na majani ina maana mbuzi atakula majani na kama ukivusha majani nakuacha simba na mbuzi ina maana simba atakula mbuzi. Hebu niambie wewe utavushaje hivyo vitu.
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  halafu kimoja kimoja,lo!
   
 3. A

  Adam waTZ Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaah kimoja kimoja mbona inawezekana we chemsha bongo tu
   
 4. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kweli we kilaza
   
 5. N

  Nakadongo Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utavusha mbuzi,utaacha cmba na majani,utarudi kuchukua majani then utayavusha utamchukua mbuz utarud nae,ukifika utamwacha mbuzi utamvusha simba,then utampick mbuzi
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa unachukua mbuzi halafu unamvusha wakati huo simba umemwacha na majani(simba hali majani),halafu unarudi kuchukua simba unamvukisha aliko mbuzi,ukimfikisha simba kule kwa mbuzi unarudi na mbuzi unamwacha simba mwenyewe,
  ukirudi na mbuzi unamwacha upande yaliko majani halafu unachukua majani nakuvukisha upande wa simba,kwahiyo simba anambaki na majani(simba hali majani),then unakuja kumalizia kumvukisha mbuzi,unakuwa umemaliza.
   
 7. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  haya tuliyajib tukiwa std lll
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hili ni sawa na lile la kuvuka daraja na wewe hauna hela na kuna mlinzi,kuvuka daraja sh 100.
   
 9. A

  Adam waTZ Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daah mwana unaweza. kiukweli ilikuwa hot enzi hizo
   
 10. A

  Adam waTZ Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes. Well done, kweli tumekuwa na kiakili enzi hizo ni bonge la mtihani
   
 11. tobycow

  tobycow Senior Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyo simba unayemvusha vusha hvo akufanyi ki2 ni wa mbuga gan tafadhali naomba nifahamishwe
   
 12. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Ha, ha, haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......................Labda simba huyo ni camerun
   
 13. m

  mbambaguy JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unamchukua mbuz unamvusha cz cmba hali majan unarud unakuja unachukua majan unapeleka ukiwa unarud unarud na mbuz unaacha majan ukfka unachuku cmba unapeleka kisha unamrudia... hapo malzia sasa....
   
 14. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  sasa akishajibu m1 si inatosha mpaka wote mchangie????????????/
   
 15. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  inanikumbusha ile ya kwamba bata mbele ya bata na bata nyuma ya bata ni bata wangapi?
   
 16. k

  kifuniboy Senior Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kweli siyo kila supu ya utumbo.(A.K.A,upupu)inaliwa.
   
 17. a

  amiride JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hebu jaribuni hii "Juu ya meza kuna nzi 10 ukiua mmoja watabaki :lol:wangapi?
   
 18. Mbayuwa2

  Mbayuwa2 Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh...... Sina jawabu
   
 19. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mh! Hii ni sawa na kuuliza km kuna wa2 10 ukimpiga risasi m1 watabaki wangapi.............
  Maskhara hayo
   
 20. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Labda simba wa sarakasi huyo
   
Loading...