Shagiguku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 409
- 138
[h=6]enzi hizo radio tanzania, kumekucha, jambo tanzania, mchana mwema, chaguo la msikilizaji, salamu mkulima, pwagu na pwaguzi, bp ni zaidi, mama na mwana, majira, jungu kuu, mikingamo, ombi lako, mkulima wa kisasa, duuuh aaahh vipindi vilikuwa vingi sana vyote vitamu. enzi hizo hakuna kujiunga sijui na bbc wala doche vele, hapo ni idhaa ya taifa na saa tisa ikifika idhaa ya biashara zaidi labda ufungulie external service ya rtd.[/h]
ongezapo na wewe kadri unavyokumbuka....!!!
ongezapo na wewe kadri unavyokumbuka....!!!