Wimbo wa Binti

Wimbo wa Binti

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,087
Reaction score
34,889
Wimbo wa Binti


Nisikiza binti nikupe yakini, Nisikiza binti nikupe yakini, Nenda na laiti na mengi ya ndani, Nenda na laiti na mengi ya ndani, nakupenda dhati sipati kifani, Hunijia wakti ukaja ndotoni, hunijia wakti ukaja ndotoni, Viungo vya kati vyako vya mwilini, Viungo vya kati vyako vya mwilini, Toka magotini kuja kifuani. Rangi samawati yako ya machoni, Rangi samawati yako ya machoni, Husadiki siti nenda kiooni, Husadiki siti nenda kiooni, Huna tafauti khurulaini, Nipe wako wakti binti tabasamu, Nipe wako wakti binti tabasamu, Ishe yangu hamu irudi fahamu, pendo kwa thamani lashinda hisani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom