JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Any details kuhusu watu hawa.Please help,am dead of clarification.
0 Reactions
44 Replies
23K Views
Europe according to USA Europe according to Stereotype
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mme na mke wake walikuwa wanashindana kuweka password mpya kwenye computer yao mme akawa amekomalia kuwa password iitwe 'uume' mara mke akawa ameanguka chini kwa kicheko,kumbe screen ya computer...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
=a baby 2=anthr chance 3=love 4=a kiss 5=frndship 6=to cuddle 7=a relatnship 8=an apology 9=a good chat 10=my pic 11=2 go on a date wth me 12:sleep @ur place 13=2 shag the lyf...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
Wapendwa hamjambo,nawajulisha ya kwamba Cpt Lowasa ameamua kuachana na dhambi,na hayo alishauriwa aokoke na Nabii T.B.Joshua nchini Nigeria.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtoto alikuwa akimwambia mama yake kuwa kila siku amekuwa akimwambia kuwa house girl wao ni malaika anabisha. Mama akamuuliza kwa nini? Mtoto akamjibu, kila siku namkuta akipiga kelele akitaka...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
majamaa wawili walikua wamevuta bhang na ikawakolea kwelikweli. Wakaambizana tutaendaje nyumbani wakat hatuoni vizur magar? Mwenzake akamwambia wew gar la kwanza kupita tu tunadandia sawa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo najiskia mkarimu sana alafu niko kwenye position ya kutoa LIKE. Yani najisikia kuzigawa kama njugu, kwahiyo kama unataka like we andika point tu nakuja huko ulipo:eyebrows:. Unasubiria nini...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Dokta meno: Ajabu kweli nimeng'oa meno matatu ya mbele hata damu haitoki!! Mgonjwa: Aahh umeng'oa ya bandia sio yenyewe.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
take your time and enjoy life kabla majukumu hayajawafunika enjoy to the fullest kama ni wa mziki dance mifupa yako ikiwa na nguvu fanya adventure zote kwa usalama lakini nimekaa hapa...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
wakuu afrika kusini sio sehemu salama tena...nafikiri sasa tuwaachie nchi yao wema wetu tuliowatendea baba na babu zao miaka ya nyuma unatosha.....tuwaachie nchi yao...... Hiyo wanawatumia watu...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna mtu kanikera kweli leo,.Kuna jamaa yake wa karibu kanipigia simu eti anafanya kazi airport na amepokea mzigo wangu kutoka kwa huyo mtu ambaye kwa sasa yuko nairobi na mzigo umetokea...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
how do you manage urz?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi kati tumemzika jamaa yetu mmoja,msahaulifu sana,kajishau kuvuta pumzi....
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hey Jf members kwa wale WACHAGGA saa hv wanajiandaa na kujikataa katika area zao mbuzi wakutosha KISUSIO kwa wamachame! Nakwa wale WASUKUMA sa hv ndo makg ya mchele ndo wanunua! Je wapendanao vp...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtoto:Baba nimempenda Lucy mtoto wa jirani yetu awe mpenzi wangu Baba:Heri hata hujamtongoza,huyo ni dada yako Mtoto:Baba nimekutana na msichana mwingine Baba:Nani huyo? Mtoto:Joyce mtoto wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kizazi cha supra ni noma! Hebu msikie huyu wakuja alisikia kwenye redio mjini vijana wanakula bata ile mbaya yeye akaamua kuchukua wakwake kutoka kijijini na kuja nae mjini kwaajili ya kula bata.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ghafla alichomoza sekretari na kuwatangazia wageni waliopo kwenye benchi wakisubiri kumuona bosi kuwa 'mwenye haja kubwa tu ndo aingie kumuona bosi' kweli kiswahili kipana!
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Teja1. (hapa yuko kariokoo anamuuliza mwenzie walipo) E-mwanae tuko wapi hapa kichaa? Teja2. Tuko Jamaica hapa kwenye arobaini ya Bob. Teja1. Sasa mbona naona msitu mnene tu kachaa! Teja2. Ndo...
1 Reactions
93 Replies
10K Views
Niifananishe na nini dunia hii ninayoishi, imefanana na nguo iliyochakaa, iliyojaa viraka kila sehemu. Hebu angalia leo hii mambo yanayofanyika duniani, mara kuhalalisha ukameruni, wizi wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom