Mtumishi

Mtumishi

Mbekelu Mghenyi

New Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
3
Reaction score
1
Wapendwa hamjambo,nawajulisha ya kwamba Cpt Lowasa ameamua kuachana na dhambi,na hayo alishauriwa aokoke na Nabii T.B.Joshua nchini Nigeria.
 
Wapendwa hamjambo,nawajulisha ya kwamba Cpt Lowasa ameamua kuachana na dhambi,na hayo alishauriwa aokoke na Nabii T.B.Joshua nchini Nigeria.
Unatuletea habari gani wewe??????????? Kama ameokoka atarudisha fedha zetu nyingi $300Million alizoficha kwenye Acct zake Uswiss?????????? Majumba aliyonunua huko London vipi anuza aturudishie fedha au anayamilikisha serikali????????? Wacha ulevi wa mchana, anakulipa fedha ngapi kuleta utumbo hapa JF ???????????? Watu tuna usongo na wezi angalia tusikurarue mcha mchana hapa, koma!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom