Like....

Ndo mana nimeshangaa
Nimepokea asa ivi
Nkasema Thimu nazo dhimeandha kutoa LIKE
Hebui mgongee na RR:lol:
 
Sioni POINT naona pointi.
Pole


What for??Sijaona point.
00dx051UUjb.gif
 
Ha ha ha ha, matani ya karibu na uongo sipendi
Umejuaje, kaja juzi, tena kapandisha kodi kweli eti kutokana na kupanda kwa petrol
Nikawaza inahusu nini petrol na nyumba
Au nayo inatumia

Kwa kuwa ni mwisho wa mwaka wafuatao wanadaiwa kodi na baba mwenye nyumba...Asprin, Klorokwin, The Boss, AfroDenzi, Kongosho, Kaizer, Lizzy na AshaDii ujumbe wenu huu hapa chini....

Mejja - Landlord (FULL HD) - YouTube
 
Hongera kwa kua in position ya kugonga Like na wewe leo. Mi siombi Like kwa post hii, naomba tu ulipe rundo la deni. :wink2:
kwa Kulipisha lipisha huku, na kwa kua mchoyo wa likes I have reduced the gap. tuko 250 received na 1040 given (from 100 and 1000). lol
 
Lizzy
Nimekufiiia fiaaaa, nimekuu zimikiaaa kiaa
mtoto wa geti kali...

Nipe LIKE mbili hapo..:poa
 
Lizzy
Nimekufiiia fiaaaa, nimekuu zimikiaaa kiaa
mtoto wa geti kali...

Nipe LIKE mbili hapo..:poa

Hahahahha, sijasema unitongoze nimesema uandike POINT.

Alafu weee kama unajisikia nafuu ,maumivu yako yamehamia kwangu. Njoo unipe pole nikwachie na usia
 
Back
Top Bottom