Dokta wa meno

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Dokta meno: Ajabu kweli nimeng'oa meno matatu ya mbele hata damu haitoki!!
Mgonjwa: Aahh umeng'oa ya bandia sio yenyewe.
 
Jamaa alipeleka gari yake kwa fundi:
Jamaa: Fundi gari yangu nkikata kushoto wakati inatembea inapiga kelele na kulia ivo ivo.
Fundi akaicheki huku na kule na baadae kudai chake.
Fundi: Gharama yake itakuwa elfu 20.
Jamaa: Tatizo lilikua nini?
Fundi: Tatizo bado lipo, ukifika kalishushe bakuli lipo kwenye buti ya gari yako.
 
Mwanasheria alifanya mapenzi na mwanamke,kwenye gari, yule mwanamke akaisahau ch*pi. Mbele akamkuta mkewe na kumpakia.

Mke: Hee! Mume wangu umeanza tabia ya kutembea na ch*pi za watu kwenye gari. Akaitupa nje.
Mume (Mwanasheria): aah! Mke wangu ule ni ushahidi wa ile kesi ambayo ingetupatia milioni 30...
 
Vichaa walipelekwa kwenye bwawa la kuogelea lisilo na maji wakaambiwa waingie waogelee! Woote wakaingia isipokuwa wawili, wakaulizwa mbona nyie hamuingii kuogelea?

Wa kwanza akajibu ''ntaingiaje wakati hamjanipa chupi ya kuogelea.''
Wa pili akajibu ''mimi mpaka mkinipa boya la kuelea ndo ntaingia.'
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.

yaani wewe una wivu usioelezeka.... kwani kuna masharti ya kutuma idadi ya thread humu?
hivi jf ni ya baba yako? sipati picha kama ungekuwa mshika dau wa jf.moderators wakae kimya...
wewe ngedere mdomo juu kama kuku anakunywa maji.... jitahidi na wwe kuweka post nyingi
ni free of charge.... anyway kupost humu pia ni kipaji. halafu hayo ya pc,bb za kuazima
yanatoka wapi? mbona siku hizi pc ni jambo la kawaida na isitoshe mtandao siku hizi
mpaka kwenye simu unapata. sio kitu kipya ama cha pekee kuwa ndani ya mtandao
siku hizi. kitu cha pekee kwa sasa ambacho jamii inapinga ni posho za akina bi kiroboto
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.
jukwaa la utani/ jokes limevamiwa. kama topic hujaipenda sio lazima uchangie.
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.[/QUOTE]

huyu si mzima nawasiwasi na uraia wako,ukiona inakukera,not necessary to comment,keep quiet move to other forum,
hapo kwny red,hiyo elimu ni ipi unayotoa?umenikeraaa..
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.
hivi huyu jamaa ni mshumaa nn wewe ni wakuchoma kunguru pusi
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.[/QUOTE]

huyu si mzima nawasiwasi na uraia wako,ukiona inakukera,not necessary to comment,keep quiet move to other forum,
hapo kwny red,hiyo elimu ni ipi unayotoa?umenikeraaa..
sijui sasa elimu gani anatoa kwa mtindo huu
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.
hebu acha kuchafua hali ya hewa na kuvamia tu siredi bila kujua ni jukwaa gani.....................hebu toa huu UPUPU wako humu
 
hebu acha kuchafua hali ya hewa na kuvamia tu siredi bila kujua ni jukwaa gani.....................hebu toa huu UPUPU wako humu
heri umwambie wewe mkuu,mana sisi tukimwambia anaona tunamwonea
 
Huyu wa kusoma ni...... Yaani ningekuwa nakujua live ningeku.... Mpaka ushindwe kutembea. ***** weeeeee!
 
Excellent
JF Senior Expert Member

[h=2]This message has been deleted by Pruner.[/h]

mkuu mbona unadelete,au unaona hicho anachofanya huyo ni poa.
 
Umezoe hizo tabia zako za kukamerooooon watoto wa watu we mp.... kweli mm hunipati, ushindwe na ulegee.

uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, nani kaandika habari za kukameroon mtu? Haya namalizia,ning'ekupiga.
 
we wa unayejiita wa kusoma,unachombwa nin,huo usomi wako si unatusaidia nin au kama hauna bandana njoo nikuwekee za mbwa we2,huna adabu
 
mnaojibizana na huyu jamaa kuweni makini, nimemshtukia, yaani ile staili tu anavyoingia kwenye comments ni tishio. niki skiroo na kuona avatar yake hata sijaona alichoandika, tayari n'shajua kinachofuata, inawezekana anatoka musoma, kama si hivo basi huyu atakuwa sio mtu, tehe tehe, tihi tihi. lugha kama hizo kichina tunaziita - ' hu hao'
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.

Nawe hii ni moja ya post zako nyingi amabazo ni upupu vile vile! hahahahahah
 
Back
Top Bottom