Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
Mtoto:Baba nimempenda Lucy mtoto wa jirani yetu awe mpenzi wangu
Baba:Heri hata hujamtongoza,huyo ni dada yako
Mtoto:Baba nimekutana na msichana mwingine
Baba:Nani huyo?
Mtoto:Joyce mtoto wa jirani wa pili
Baba:Heri hata hujamtongoza,yule ni dada yako pia,ila usimwambie mama kuhusu haya
Mtotoanalia machozi huku anaenda kumwambia mama kwa hasira)
Mama:tatizo nini mwanangu
Mtoto:Nimependa wasichana wa jirani yetu kama sita ila baba amenikata eti ni dada zangu
Mama:Nyamaza usilie mwanangu,we mtongoze unayempenda,we sio kaka yao mana huyu sio baba yako