kula bata!

kula bata!

pera

Senior Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
148
Reaction score
16
kizazi cha supra ni noma! Hebu msikie huyu wakuja alisikia kwenye redio mjini vijana wanakula bata ile mbaya yeye akaamua kuchukua wakwake kutoka kijijini na kuja nae mjini kwaajili ya kula bata.
 
mbona kizazi cha supra kidogo ni wajanja huyo amekwaje mshamba hivo
 
hiki ndo kizazi cha skin jeans kwa watoto wa kiume................jamaaaaaaaaani
 
ndo kitu gani hii sasa!!!

asante sana MEMO umeuona upupu huu na wewe, watu badala walete uzi wa joke wanapost vyovyote wapendavyo, hasa exccelent anaudhi huyu!!!!!!!!!
 
asante sana MEMO umeuona upupu huu na wewe, watu badala walete uzi wa joke wanapost vyovyote wapendavyo, hasa exccelent anaudhi huyu!!!w!!!!!!
memo, shomshalo na wewe halmashauri zenu za kichwa hazifanyi kazi vizuri
 
Who is EXCCELENT?simfahamu mtu huyu! Ila kuna jamaa anaitwa EXCELLENT ndo namfahamu.

hahaha.jaguar halaf m2 ndo anaita hio valid statement.ama ndio anaiita valid statement.usimlaumu lakini.msimu unaruhusu.
 
Back
Top Bottom