Unakuta mtu unaingia kwenye ofisi ya watu. kuko kimya kama maji ya mtungi maana people a busy working. Umekaribishwa kiti ili umsubiri mwenyeji wako. ghafla simu yako ya kiganjani inaita. Sauti...
Michel Lotito (aka MonsieurMangetout) from Grenoble, France, has been eating metal and glass since 1959. Gastroenterologists have described his ability to consume 900 g (2 lb) of metal per day as...
Staili ya watu wala hamjuani,hamkusalimiana wakati mmekutana, lakini ngoma ya Kwaito ikipigwa mnajipanga mnacheza pamoja kwa ustadi, nani amewafundisha? na ule mshikamano mnaouonyesha pale...
Wafanyabiashara wawili wako safarini, wamefika geust house chumba kimebaki kimoja cha dabo.akawaita mmoja mmoja akawaambia kisiri! Akaanza na mpemba,"muangalie sana huyo mchaga atakuibia"...
Ongeza maneno yako hapa au unipm kama unaelewa maana ya haya maneno;
KIZOTA, KUNYETA, ZERO BRAIN, SUPP, MKANDARASI, UWANJA WA ZEGE, DEO, MGANGALUMA, MK, BLOCK7, KAYUKI, nk.
Hebu changia tu kama...
Hatimaye leo sheli ya big born umegeuka kuwa uwanja wa ngumi.
Kasheshe hiyo ilisababishwa na kugombea mafuta (petrol).
Sheli hapo kulikuwa na msongamano wa magari mengi sana na wanawake...
[WIKIPEDIA],Najua kila kitu.....................................[GOOGLE]=>Nina kila kitu.....................................[FACEBOOK]=>Ninamjua kila...
A young man who applied for a job in a reputable organization made a very good impression during the interview until when he was asked about his salary expectations...
Manager: What SALARY do you...
Mbele ya mtumishi wa Mungu mwanaume akafungua zipu akaitoa akaiangaliaa! na kuanza kuiingiza taratiibu kwa mchumba wake,huku mwanamke machozi yakimtoka kwa raha aliyokuwanayo mpaka ilipoingia...
Nawashukuru wale wote walionikaribisha vizuri hapa JF. Naahidi kuwa mwanachama mtiifu. Kwa wale wote ninaofananishwa nao watakuja wenyewe kukanusha.
I am Who am...
1.mpango mkakati.
2.megawati.
3.wahisani.
4.wawekezaji.
5.mkopo wenye riba nafuu.
6.libeneke
7.mgao.
8.gamba/magamba.
9.demokrasia ya kweli.
10.tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele.
11.fitina...
Wakubwa kumekuwa na vifupisho vingi sana venye maana tofauti sana na iliyokusudiwa hebu tuviangalie baadhi yake;-
PCM-people calculate llke machine
PCB-People confuse brain
HKL-Hakuna kusoma...
Why is it that Tom
never really eats Jerry...????aaah mi nimechoka kuona wakikimbizana kila siku!!!!NI LINI ATAMLA KILA SIKU NIMEKUA NIKISUBILI NA SASA NDEVU ZANIOTA LAKINI BADO TUUUU!!!!