Tafadhali Usikoment napita tuu

Tafadhali Usikoment napita tuu

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,783
Karibuni wooooote Sikukuu ya krismas na Mwaka mpyaa by da way Nawapenda wote mtakaosema Thanks
 
Thread dizani hii ndizo zinazopendwa sana JF MMU ngoja waje wenye jukwaa wakuthamini
 
Ha,ha,ha,haaa..,natamani dena angekuwepo hapa!
 
Weeee Husna TF anakaribia kuanza ibada we unazurula tu!

Eiyer leo hakuna mkesha,TF amesema anamshughulikia kongosho tuuuu ili ksh asiwe na pembe tatu kichwani!
 
ha ha ha
ntakunyang'anya hilo bugaluu lako na raizon
ili uendelee kuwa mfupi

Eiyer leo hakuna mkesha,TF amesema anamshughulikia kongosho tuuuu ili ksh asiwe na pembe tatu kichwani!
 
Back
Top Bottom