Duh! Mpemba na mchaga wakomolewa na mwenye gest!

Duh! Mpemba na mchaga wakomolewa na mwenye gest!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Wafanyabiashara wawili wako safarini, wamefika geust house chumba kimebaki kimoja cha dabo.akawaita mmoja mmoja akawaambia kisiri! Akaanza na mpemba,"muangalie sana huyo mchaga atakuibia" akamwambia mchaga "mwangalie huyo mpemba ukilala atakulamerun" wote wamekesha na mabegi yao! Kila anayejigeuza mwenzake anafoka,"we tulia, habari zako ninazo full"
 
If you love something, set it free; if it comes back.....its yours,...
if it doesn't.......hunt it down and
kill it!
fencing.gif
 
Yaani Wapemba na Wachaga ndio tabia zao hizo?
 
Yaani Wapemba na Wachaga ndio tabia zao hizo? Kazi kweli kweli.
 
Mchaga siangemeki,kwan mk* * ki2 gani bwana,
 
Back
Top Bottom