Mwanaume afungua zipu!

Mwanaume afungua zipu!

nickname

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
544
Reaction score
151
Mbele ya mtumishi wa Mungu mwanaume akafungua zipu akaitoa akaiangaliaa! na kuanza kuiingiza taratiibu kwa mchumba wake,huku mwanamke machozi yakimtoka kwa raha aliyokuwanayo mpaka ilipoingia yote.

Watu wakastaajabu hawakuamini kitendo walichoshuhudia cha mwanaume yule kumuingiza mchumba wake pete ya dhahabu na kuwa watu wapya mume na mke!..hapo shangwe na vigelegele vikalipuka pale kanisani..kwa kweli ilikuwa ndoa ambayo wengi hawakuitarajia.
 
Mkuu umeanza na style ya kusisimua.Unafaa kuwa mtunzi wa storybook
 
Acha niwe mkweli,mi nilishaingia chaka!
 
Mm ndo wala sisemi................!!!!
Mambo mengine hayafai kufanyiana we Nickname alaaaa
 
teh teh teh akili yangu ilishafika mbali sana
 
Kwanini umeamua kuianza kwa format hiyo?. Nilishapeleka mawazo mbali.
 
Kwanini umeamua kuianza kwa format hiyo?. Nilishapeleka mawazo mbali.

Ni namna ya kuwavuta kwenye mawazo mnayoyapenda na kuyafikiria kila wakati and lastly to tell the theme(maudhui) of the story.

Hii ni sanaa mojawapo ya jokes
 
Mimi nilishaanza kusimama ili niizime computer yangu kwa hasira na haraka sana. Kumbe ni pete!!
Ahahahahah! ngoja niendelee kuperuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom