Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
Staili ya watu wala hamjuani,hamkusalimiana wakati mmekutana, lakini ngoma ya Kwaito ikipigwa mnajipanga mnacheza pamoja kwa ustadi, nani amewafundisha? na ule mshikamano mnaouonyesha pale mngekuwa mnauonyesha katika kupinga kudorora kwa shilingi serikali ingekuwa imeshaondoka madarakani. style gani ile.....mnainama... wanasogea hatua mbili kushoto, wanarudi nyuma,......wabongo bana...