Misamiati 50 iliyonisumbua kichwa sana katika miaka hii 50 ya tanganyika.

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
1.mpango mkakati.

2.megawati.
3.wahisani.
4.wawekezaji.
5.mkopo wenye riba nafuu.
6.libeneke
7.mgao.
8.gamba/magamba.
9.demokrasia ya kweli.
10.tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele.
11.fitina
12.wanaharataki.
13.posho.
14.Nondozi
15.wadau.
16.uhujumu uchumi.
17.ufisadi.
18.muungano.
19.mchakato.
20.vyama vingi.
21.mabasi yaendayo kasi.
22.barabara za juu.
23.thamani ya shilingi.
24.fursa sawa kwa wote
25.ubinafsishaji.

26.utandawazi.
27.Migomo
28.maslahi binafsi.
29.vyama vingi.
30.kitchen patry.
31.kagha moja ndembendembe.
32.haki za binadamu.
33.hadidu za rejea.
34.Tume ya uchunguzi.
35.nguvu ya hoja.
36.mustakabali wa Taifa.
37.nguvu mpya,ari mpya na kasi mpya.
38.nguvu ya umma.
39.hati ya maridhiano ya makubaliano.
40.ugaidi.
41.ughaibuni.
42.muafaka
43.uchakachuaji
44.mpango ndelevu
45.kamati teule
46.rasimu
47.sharobaro
48.wapiganaji/wapambanaji
49.upembuzi yakinifu.
50.mfumuko wa bei.
 
hivi hapo hakuna neno "upembuzi yakinifu"? na pia usisahau " kwa kuwa" (bungeni)
 
Kasi mpya ari mpya na nguvu mpya nayo inasumbua akili kuanzia kwa Jakaya Kikwete hadi kwa wadanganyika. Hapa bado hujaongelea madudu kama MKUKUTA, ujasiriamali, Uchukuaji uitwao uwekezaji na uhuru.
 
Umesahau

1. Kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya
2. Ukitaka kula lazima uliwe
3. Mkukuta.
4. Habari za kiiteligensia
5. Amani na utulivu - hili limekuwepo tokea enzi za Tanganyika but sijui maana yake kabisa.
 
1.kujivua gamba
2. magwanda
3. richmond
4. kagoda
6.upotoshaji
7. mbayuwayu
8. al-shabaab
9. mswaada wa sheria ya katiba mpya
10. Katiba mpya
Na hayo hapo juu pia
 
Hivi hizi zipo ?!
1. Semina elekezi
2. Mwongozo wa spika
3. Na huu wa juzi juzi wa kupandisha posho za vikao... Unasinzia sinzia,ukikurupuka unagonga meza na kudai kilo 2 !
 
1. Tanzania Bara
2. Tanzania Visiwani
3. Ndugu zangu Watanzania wenzangu
5. Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara/Tanzania
 
1. Tume teule,
2. kamati za bunge.
3. Tumeunda kamati, tumeunda tume.
4. Tunasubiri uchunguzi.
5. kwahisani ya watu wa marekani.
6. kagoda, Meremeta, kiwila, buzwagi, nyamongo.
7. Tanesco.
8. nguvu ya uma.
9. ukosefu wa ajira ni bomu.
10. maamuzi magumu.
11. mbio za urais 2015.
12. kilimo kwanza.
13. makamo wa pili wa rais.
14. ninatafakari (kulala bungeni.)
 
Back
Top Bottom