Big born iliyopo sinza yageuka uwanja wa vita

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,167
Hatimaye leo sheli ya big born umegeuka kuwa uwanja wa ngumi.

Kasheshe hiyo ilisababishwa na kugombea mafuta (petrol).
Sheli hapo kulikuwa na msongamano wa magari mengi sana na wanawake wawili 1 alikuwa kesha hudumiwa na mwingine bado yule ambaye bado hajahudumiwa alifosi na kumzuia yule aliye kwisha hudumiwa kuondoka mpaka naye ahudumiwe ndipo aondoe gari yake mbele ya yule aliye hudumiwa.

Awali walianza kwa kutupiana maneno na kutukanana baadae yule aliyekwisha hudumiwa akapandwa na hasira na kwenda kumkunja yule aliye mzuia njia wakaanza kutupiana makonde ndipo madereva wa piki piki na bajaji wakawa gombelezea.
 
Kwani mafuta bado tatzo?
Maana sijui coz cna kifaa kinachohtaj mafuta,na bei c imeshuka?nimeckia kwenye uchambuz wa magazet asbui ya LeO
 
hebu mtupe bei elekezi mpya zitazoaza tumika kesho (according to EWURA news today)
 
Hahahah,
miaka ya 90 hiyo,vocha zinaitwa Dola
Nakumbuka kipindi kile cha ITV,mtu akinunua TV,basi ilikuwa fulani kanunua ITV.MOBITEL kampuni ya kwanza ya simu,ilikuwa kila mtu akinunua simu,basi fulani kanunua mobitel
 
Hawajavuana nguo?make wanawake mpaka amvute mwenzie shinizi yake ikiwezekana kabati na shanga zote huwa zinawekwa hadharani....mimi iko penda sana hii mkitu
 
duh, stress zimekuwa nyingi kuzuiana magari tu wanatwangana migumi?

Ila mafuta ya shida kiaina, kama ni wale wa kuchezea kwenye mstari kesho bora uamke saa 10 alfajiri, big bon kariakoo au sijui huwa ni total kagera morogoro road.
 
Back
Top Bottom