Jamaa alisingiziwa kuwa kaiba,waliomkamata waliamua kumpeleka kwa mganga wa kienyeji,waliamua kama ni yeye wampe kichapo mpaka afe,walipofika walimwambia nganga tutakupa hela kama utasema kweli...
Wakubwa tukiwa tunaelekea kufunga mwaka na kuufungua mwaka mpya najua kila mtu atakuwa na staili yake ya kufungia mwaka siku moja kabla au masaa machache kabla ya mwaka mpya.
Binafsi ntakuwa...
Leo majira ya mchana nimepigiwa simu na rafiki yangu akinijulisha msiba uliompata mdogo wake kutokana na hizi mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar.
Mdogo wa huyu rafiki yangu amempoteza...
Leo nimekaa chini nimewaza sana kuhusu maisha yangu in general, na nimegundua ninamiss kitu kimoja nacho ni mtoto nimetafuta kwa mda mrefu sasa mpaka nahisi mimi mgumba ingawa madaktari...
‎Mambo matano tunapokuwa kwenye mtihani
1.Tunarudia kusoma maswali tukidhani majibu yatatoka kwenye yale maswali
2. Kuangalia kila upande wa darasa ili kujua kama wanafunzi wenzako...
kuna jamaa mmoja aliiba kuku mitaa ya uswahilin akakimbia mpaka akafika karibu na ziwa hakuna sehemu ya kukimbilia. Akamchukua akamnyonyoa fasta alafu akamtupia kwenye maji yule kuku! Watu wakaja...
Umri wa Mama ni miaka 21 zaidi ya Mwanae.Baada ya miaka 6 kamili kutoka sasa,umri wa Mama utakuwa mara 5 ya umri wa Mwanae. SWALI:Baba wa mtoto huyu yuko wapi?
SOLIDARITY FOREVER
1. When the union`s inspiration
Through the workers` blood shall run,
There can be no power greater anywhere beneath the sun,
Yet what force on earth is weaker than the feeble...
Ni ajali ya kutisha imetokea sasa hivi kati ya fuso na bajaji,fuso lipo meng'e meng'e dereva na watu wawili wamepoteza maisha,ila bajaji imevunjika taa tu yoo
Some animals considered the smartest and most intelligent others are just stupid: Here is a list of top 15 smartest animals on our planet. Welcome to Eco Cultures Tours & Travel
1. Great Apes; 98%...
A guy walks past a mental hospital and hears a moaning voice "13.......13.......13.........13" the man looked over to the hospital and saw a hole in the wall, he looked...
Kwa wale mliokuja/ mnaokuja/mtakaokuja moshi kwa ajili ya siku kuu hii.
Napenda niwape tahadhari mapema. Muwe makini na wizi, moshi kuna mbinu tofauti kabisa za wizi. usijesema wewe mtoto wa...
Ingekuwa vipi kama tungejioganize na kujuana wapi pa kuweka vituo ili tukutane wana JF na kubadilishana mawazo. Mimi niko Manispaa ya Bukoba; kama kuna members tafadhali tufahamishane. Wengine...
Some animals considered the smartest and most intelligent others are just stupid: Here is a list of top 15 smartest animals on our planet.
Welcome to Eco Cultures Tours & Travel
1. Great...