Happy birthday ...!

Happy birthday ...!

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,430
Wapendwa tarehe kama leo nilizaliwa,namshukuru Mungu kwa anavyonipigania.Nawatakieni christmass njema na mwaka mpya wenye mafanikio.zaburi 23.
 
happy birthday mkuu....uwe na wakati mzuri.....
 
Happy birthday,Mungu akulinde tena kwa mwaka ujao na akupe baraka
 
happy-birthday_animated_129.gif
 
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa...................
 
Hongera. Umetimiza miaka mingapi vile?

HAPA HUSN hapatokagi jibu kwa maana ya swali ! Nafikiria huenda ni moja ya Jf membars C.v's kuweka age zao kwenye ( )
Back to the story!
Nakutakia Afya njema Safety!
 
HAPA HUSN hapatokagi jibu kwa maana ya swali ! Nafikiria huenda ni moja ya Jf membars C.v's kuweka age zao kwenye ( )
Back to the story!
Nakutakia Afya njema Safety!

obrigado mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom