Happy Christmas and New Year

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,604
Wana JF wote, ninawatakieni maadhimisho ya Krisma na
Sherehe njema za Mwaka Mpya.

Xmas.jpg
 
Mamammia... Asante saana!
Wishing the same to you...
:A S 465:...May it be happy Holidays for you and your family...:A S 465:
Kwa kuwa hamna kitufe ninakugongea ya maandishi.

Thank you AshaDii

Ninakutakia wewe, familia na marafiki zako
Heri na Baraka za Mwaka Mpya!
 
Asante sana Mkuu,
japo kwetu mchele kilo ni 2,200, sukari 2,400, maharage 2,400
nyama sijui, je tutaweza kula hata huo wali mkuu wangu.
 
Asante sana Mammamia.

Nami napenda niwatakie wana JF wote, especially my dear friends, MMU members, sikukuu njema na heri ya mwaka mpya 2012!

Stay blessed.
 
Asante sana Mkuu,
japo kwetu mchele kilo ni 2,200, sukari 2,400, maharage 2,400
nyama sijui, je tutaweza kula hata huo wali mkuu wangu.

Tusikate tamaa Mkuu! Inasemwa kuwa "Msi wake ana Mungu"
Na Mungu ni Mkubwa wa kuweza kuyafanya matatizo yetu kuwa nafuu.
Ninawaombea wote walio katika hali mbaya Mungu awafungulie milango ya baraka na furaha.
 
Tusikate tamaa Mkuu! Inasemwa kuwa "Msi wake ana Mungu"
Na Mungu ni Mkubwa wa kuweza kuyafanya matatizo yetu kuwa nafuu.
Ninawaombea wote walio katika hali mbaya Mungu awafungule milango ya baraka na furaha.

"kwa neno lako tutaweza mkuu"
 
Back
Top Bottom