mwizi bhana!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
kuna jamaa mmoja aliiba kuku mitaa ya uswahilin akakimbia mpaka akafika karibu na ziwa hakuna sehemu ya kukimbilia. Akamchukua akamnyonyoa fasta alafu akamtupia kwenye maji yule kuku! Watu wakaja wakamkuta yuko pale na manyoya wakamuuliza kuku yuko wapi akajibu ameenda kuogelea ameniomba nimshikie nguo zake!
 
Duuuuh basi mwizi aliwaacha hao jamaa mbali hadi anamnyonyoa kuku walikuwa bado hawajafika!!!!
 
hiyo imetisha mkuu, hapo tutamwambia mwizi atupe hizo nguo zake tumsubiri amalize kuogelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom