Style za kufungia mwaka

Style za kufungia mwaka

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
1,158
Reaction score
1,388
Wakubwa tukiwa tunaelekea kufunga mwaka na kuufungua mwaka mpya najua kila mtu atakuwa na staili yake ya kufungia mwaka siku moja kabla au masaa machache kabla ya mwaka mpya.
Binafsi ntakuwa zangu beach na mtoto mzuri wa kisomali tukicheza kidali po!
Wewe je?
 
kanisani na ile complementary yangu ya pale new maisha club naiuza..
 
mie ntayapumzisha makalio
siku hiyo natumia kichwa kukaa
 
Mi ntakuwa na wanafamilia nyumbaaaani.....
 
Umenikumbusha msomali wangu bado ananizungusha mwezi wa nne sasa,
 
Ntatuliza masaburi yangu nimsubiri prophet uebert Angel akiproffecies mamiracles ya ukweli
 
Mmmh nahisi tarehe 2 wakwanza ntakuwa na test, so ntakuwa mezani nachimbua madesa.
 
Back
Top Bottom