Calculate and Think!

Calculate and Think!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Umri wa Mama ni miaka 21 zaidi ya Mwanae.Baada ya miaka 6 kamili kutoka sasa,umri wa Mama utakuwa mara 5 ya umri wa Mwanae. SWALI:Baba wa mtoto huyu yuko wapi?
 
X-Y=21
X+6=5Y

X-Y=21
X-5Y=-6

4Y=27
Y=27/4
X=14 1/4

Kwahiyo mama ana miaka 14.25 na mtoto ana miaka 6.75

Hivyo basi Baba ya huyu mtoto atakuwa Jela kwa kumzalisha mwanafunzi au binti mdogo aliyepaswa kuwa mwanafunzi.
Dah aisee hata sikuwa na wazo km hilo,sawa mwana mahesabu
 
X-Y=21
X+6=5Y

X-Y=21
X-5Y=-6

4Y=27
Y=27/4
X=14 1/4

Kwahiyo mama ana miaka 14.25 na mtoto ana miaka 6.75

Hivyo basi Baba ya huyu mtoto atakuwa Jela kwa kumzalisha mwanafunzi au binti mdogo aliyepaswa kuwa mwanafunzi.
Thanks but you are not correct!
 
Prove mathematically that the infinity set of counting numbers is larger than the infinity set of prime numbers.
 
Umri wa Mama ni miaka 21 zaidi ya Mwanae.Baada ya miaka 6 kamili kutoka sasa,umri wa Mama utakuwa mara 5 ya umri wa Mwanae. SWALI:Baba wa mtoto huyu yuko wapi?

let
mtoto's age be x
so for maza it is 21+x for now, after 6 yrs it will be 5x
ukifika hapa mathematically, 21+6=5x
27=5X
mwingine aendelee najua mpaka hapa mwalimu angenipa angalau 0.5
 
mama atakuwa amepata mimba kwa uwezo wa mungu hvyo mtoto hatokuwepo mana nae hana umri ikiwa mama anamiaka 21
 
Sawa mkuu ila tumepata Idea kuwa jibu ni kuwa iwe isiwe baba wa mtoto Hayupo kwa sasa,either kafungwa.
Ok,nimekupata,what about 8-2=3!,prove me right or wrong!
 
let
mtoto's age be x
so for maza it is 21+x for now, after 6 yrs it will be 5x
ukifika hapa mathematically, 21+6=5x
27=5X
mwingine aendelee najua mpaka hapa mwalimu angenipa angalau 0.5
Thanx rafiki mkuu kwa kujaribu.
 
Back
Top Bottom