JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
..mm naitwa kidole kati...huwa sieleweki...watu wananishangaa,...bla bla bla blaa...ckumbuki hata... LOL
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kulitoke tangazo moja Ukiwa na watoto kumi utapata zawadi ya nyumba na gari MKE: sasa mumewangu sisi tuna watoto nane itakuwaje MUME: mkewangu nisamehe nna watoto wawili nje ya ndoa ngoja...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
gonga LIKE:kama kila unapomaliza kusoma post au comment yenye mashiko unaangalia huyo member kajiunga lini JF...!!
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alipandishwa cheo...baada tu ya kupandishwa cheo akampa taarifa mke wake,na kwa kuwa mke wake alikuwa na wivu na mume wake akaanza chokochoko; Mume: Mke wangu nimepandishwa cheo,hivyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mmasai akapewa kipaza sauti kwenye msiba wa marehemu rafiki yake akaambiwa aseme machache!! Alichosema, "Msiba oyeee, jenesa safi, maiti safi!! Amependesa ajapendesa?! Mwenye wifu akufe kama ii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi!
Mapenzi yanautesa moyo wangu. Niliwahi kupenda msichana bali alinitenda kwa kutembea na kk yangu wa damu moja. Nikaachana nae nikapata mwengine nae akatembea na rafiki yangu kipenzi. Jamani nina...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi hawa watu wapo bongo? Kama wapo wanapatikanaje?
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inasikitisha sana. Uwalimu sasa si kazi mzuri kutokana na jinsi serikali yetu ilivyo wapuuzia. Kwamacho yangu nimemshuhudia mwalimu wangu wa primary amekuwa ombaomba yeye na watoto wake. Tena...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Facebook is the second most popular word that starts with "F" and ends with "K". Can anyone tell me the first word?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi members, kila boss ana boss wake.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alimpa mimba sekretari wake,na baada ya kufikiria sana hakatamani kumwambia mke wake na mazungumzo yalikuwa hivi; Mume: Mke wangu leo nimepata tatizo kubwa ofisini. Mke: Usiseme...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Madaktari bingwa kutoka nchi tatu yaani Tanzania,Germany na China walikutana kuelezea mafanikio ya nchi yao. Akaanza mchina kwa kusema kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamuwekea ya bandia na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Interviewer: Why did you leave your last job? Jamaa: The Company shifted their office... and didn't tell me where.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
This is so Good!!! WACHAGAAAAAAAAAA............... Two chaggas were standing at the golden gates of heaven awaiting Simon-Peter, the angel to clear them in order for them to get into the Kingdom...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naamini kwamba ID na avatar ya mtu inaelezea kitu fulani kwa mhusika in term of personality. Jaribu kuelezea personalities from avatar and ID. Eg, from avatar Dark City, akiona hayamhusu...
0 Reactions
168 Replies
9K Views
habari zenu wakuu.naomba nitumie nafasi hii kuomba mwana mmu makini niweze kumtuma kwa obsesd. nahitaji mtu mwenyewe awe great thinker na mwenye uzoefu na mapenzi ambaye anajua mitego mbalimbali...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Leo ndo cku nilipatikana kwa uchungu jamani, niwish happy birthday na mama angu mu mpe hongera jaman, nsimsahau baba but najua hakuingia hata wodini. . .a special appreciation to all women kazi...
0 Reactions
70 Replies
4K Views
kama JK anahudhuria huko kwenye mazishi ya Mh Mtema, na pia nina uhakika Rais wa mioyo yetu atakuwepo? Je picha litachezwa vp maana hamna uwezekano wa maziko kufanywa mara mbili...Je watapishana...
0 Reactions
3 Replies
983 Views
Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa.watu kimya, nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua moja nje na kumwomba amchinjie mbuzi. halafu akarudi msikitini na panga yenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…