zawadi ya nyumba na gari

zawadi ya nyumba na gari

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
kulitoke tangazo moja Ukiwa na watoto kumi utapata zawadi ya nyumba na gari

MKE: sasa mumewangu sisi tuna watoto nane itakuwaje
MUME: mkewangu nisamehe nna watoto wawili nje ya ndoa ngoja nikawachukue alipo kwenda kuwachukua kurudi akawakuta wale watoto nane hawapo akauliza

MUME: wakowapi hawa watoto
MKE :wote wamekuja kuchukuliwa na baba zao
 
Aangalie huyo mama watoto wawili aliowaleta anaweza ona tangazo nae akaja kuwachukua..lol
 
poleni mababa wazinzi na msio waaminifu wakweli katika ndoa zenu
 
sasa hapo itabidi wakubaliane tu wakose hizo zawadi...halafu wasameheane tu.....ila huyo mwanamke hatari watoto nane???????????
 
Kwi kwi kwi.....kwa herufi kubwa, nimecheka sana
 
Back
Top Bottom